UNCOMMON LIFE
Member
- May 13, 2017
- 59
- 28
nipo morogoro.If you are serious ni pm, ukieleza uko wapi, unafanya nini, unapokwama ni wapi, kwa nini unakwama, ungependa usaidiwe nini, mchanganuo wa unachotaka kufanya n.k.
Lakini badala ya ku pm, unaweza pia kuchanganua hapa anaweza akajitokeza mdau akakuunga mkono.
Only that !!!!!!!? Haya bana, hawajambo hapo morogoro?nipo morogoro.
Mkuu samahani, hii nilikuwa sijaiona. Ushauri wangu kabla ya kuanza hiyo, anza kuuza ftari hapo morogoro mjini kuanzia wiki hii ramadhani inaanza, mpaka ramadhan inaisha, utakuwa tayari una mtaji wa kuanzisha biashara ya kahawa ambayo itakuwa kwenye kiwango cha juu na utatengeneza faida nzuri ndugu yangu.natamani kufanya hichi kibiashara lenfo kbwa ni kupandish mtaji.
kwa mtu atayekuwa tayari anisupport kupata hivi.
bench mbili ndefu, mbili fupi kiasi
meza moja ndefu futi nne na nusu na upana wake futi mbili.
kitivi kidogo kwa ajili ya wateja
mabirika manne. makubwa mawili na madogo mawili
kahawa na tangawizi
karanga mbichi na za kukaangwa
kashata
themosi nne zote mdogo
vikombe vidogo pic20
vikubwa pic 20
vikombe vya plastic saiz ya kati pic20.
asante sana
Amewaharibia na wengine watakaokuja wako serious wanahitaji msaada wote wataonekana ni matapeli sababu ya mjinga mmoja tuHajafanya kitendo kizuri na nonawachukia sana watu wa aina hiyo
asante kwa ushauri kaka.Mkuu samahani, hii nilikuwa sijaiona. Ushauri wangu kabla ya kuanza hiyo, anza kuuza ftari hapo morogoro mjini kuanzia wiki hii ramadhani inaanza, mpaka ramadhan inaisha, utakuwa tayari una mtaji wa kuanzisha biashara ya kahawa ambayo itakuwa kwenye kiwango cha juu na utatengeneza faida nzuri ndugu yangu.
Usiwe na aibu wala usijivunge kabisa, funguka, jitume, penda unachofanya na kuwa mwaminifu halafu utakuja kuniambia.
Na hiyo itasababisha watu wenye shida wasisaidiwe, kumbe pengine wako serious. Sema tu sisi wengine tatizo letu tuna huruma saja jambo ambalo mara nyingi hutuponza.
A amin!mkuu uko right kabisa sometimes unakuwa na nia kabisa ya kutoa msaada ila watu wa namna iyo ndo wanakwamisha
usiache kutoa msaada toa kadri uwezavyo na kipato icho icho kidogo ulicho nacho Mungu yupo asipo kulipa hapa duniani ata kesho akhera atakulipa Inna Shaa ALLAH
Basi wewe walii.Hahaha, mkuu sio kondooo. Ni nini kinachoweza kumtofautisha binadamu na wanyama wengine?
Yeah halafu inaweza kukuharibia baadae huko mbeleni ukapata mikosi halafu ukaishia kusema wananiloga kumbe ni kujitakiaYaani sijui tunaenda wapi aisee.Ni shida, maana sasa kila mtu atakuwa anamuogopa mwenzake halafu hata mtu akiwa na shida serious, watu watadhani ni uhuni na hakuna atakayechukua hatua
Kuna member humu alikuwa na matatizo akahitaji msaada, nilimsaidia, akawa anatoa mrejesho kwenye Mp mpaka akaweza fika kwangu ila mimi sikuwepo. Sasa hivi ana kazi na huwa anawasiliana na pale nyumbani hivyo kuna wengine matapeli lakini wengine ni watu wanaojitambua.Na hiyo itasababisha watu wenye shida wasisaidiwe, kumbe pengine wako serious. Sema tu sisi wengine tatizo letu tuna huruma saja jambo ambalo mara nyingi hutuponza.
ungefuata ushauri wangu yasingekuwa hayoKuna mwanafalsafa mmoja alitusisitiza wanadamu juu ya umuhimu wa kushuku kila kitu.Jamaa alikuwa akishuku hata uwepo wake mwenye. Ila ikafika hatua akahitimisha kuwa kwa kuwa anafikiri, basi atakuwa yupo, kwa hiyo angalau hilo ndilo jambo pekee ambalo ana uhakika nalo, lakini nalo tena baadae akaja kulishuku pale alipojiuliza kwamba hivi kwa kuwa mtu anapoota anadhani yuko kwenye ulimwengu halisia hadi atakapoamka, sasa je kama vile anavyodhani anafikiri yuko ndotoni tu?
Kwa hiyo sikushangai mkuu.Unafuata falsafa ya Descartes.