kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,998
- 2,414
Sawa leta uzi wa kuomba msaada kwa rejeaItakuwa si vizuri mkuu, lengo sio kumdhalilisha bali kumpa funzo ajirekebishe na wengine wajifunze kutokana na kisa hiki.
Sawa leta uzi wa kuomba msaada kwa rejeaItakuwa si vizuri mkuu, lengo sio kumdhalilisha bali kumpa funzo ajirekebishe na wengine wajifunze kutokana na kisa hiki.
Mkuu, halafu niligundua kuwa wanaume anaweza kukuambia kuwa anashida ya msingi sana, ukimuhurumia ukimsaidia, badala ya kwenda kufanya kilichokusudiwa anahonga warembo angalau apate hata kimokoHuyo mtu ni mpuuzi wa kwanza, hata hiyo elimu yake aliyodai kaipata chuo haijamsaidia kabisa, watu kama hawa hawaitajiki kabisa, ni bora kumsaidia mtu ambaye kashaanza biashara akakwama kuliko kumsaidia mtu anae start from zero, labda kama unamfaham na ni rahisi kumfuatilia
Sijakuelewa mkuuSawa leta uzi wa kuomba msaada kwa rejea
Huyo mtu ni mpuuzi wa kwanza, hata hiyo elimu yake aliyodai kaipata chuo haijamsaidia kabisa, watu kama hawa hawaitajiki kabisa, ni bora kumsaidia mtu ambaye kashaanza biashara akakwama kuliko kumsaidia mtu anae start from zero, labda kama unamfaham na ni rahisi kumfuatilia
Msaada: Jinsi ya kufungua dukaSijakuelewa mkuu
Ahaaaaa, sawa mkuu nimekuelewa ila sio huyo, tumuache tu tusimdhalilishe kwa sababu huenda akajirekebisha na siku moja akawa mtu mzuri sana na akaisaidia jamii. Nikimtaja ataona kama nimeamua kutumia msaada niliompa kumdhalilisha na hiyo haitampa nafasi nzuri ya kujirekebisha kama tusipomtaja.
Allahum'a amin!Hongera mkuu kwa moyo wako mzuri wa kusaidia, hakika Mungu atakuongezea ulipopunguza insha allah
Huo ni uamzi wa busara ila ingesaidia ukiweka bila kutaja jina jinsi alivyoomba msaadaAhaaaaa, sawa mkuu nimekuelewa ila sio huyo, tumuache tu tusimdhalilishe kwa sababu huenda akajirekebisha na siku moja akawa mtu mzuri sana na akaisaidia jamii. Nikimtaja ataona kama nimeamua kutumia msaada niliompa kumdhalilisha na hiyo haitampa nafasi nzuri ya kujirekebisha kama tusipomtaja.
Kuna jamaa nilimkuta mashambani huko iringa wakati natafuta mali ya shamba, akawa anajaza mazao kwenye magunia na kupakia kwa gari kama kibarua, jamaa alikuwa na hali ngumi sana, nikamuhuhurumia nikamleta dar, tukawa tunafanya naye biashara, nilipo mzoea zoea, nikamtuma shambani sasa aende mwenyewe akachukue mzigo maana mimi ratiba zangu zilikuwa zinabana, akaenda alipofika shambani akaniambia mazao yamepanfa bei kwa hiyo nimtumie hela ya nyongeza, nikamuongezea hela, akatoroka na hela yangu nyingi tu, mpaka wa leo hajarudi, nyumbani kwao napajua, nikiamua naenda kumkamata, lakini kila nikijiuliza nimfanye nini bado sijajua cha kumfanya, hela alihonga wanawake zikaisha, mali anayo miliki ni shati na jinsi mbili zilizotoboka.Kuna baadhi ya binaadamu hawana ubinaadamu, nyoyo zao zimejaa unyama. Kuna mtu nilitaka kumpa biashara kama ya million13, jamaa akataka kunifanyia zulma hapo ndio ilikuwa mwisho wa biashara yetu. Na urafiki wetu mpaka leo sijaongea nae mwaka wa 5 huu.
Hahaha, mkuu sio kondooo. Ni nini kinachoweza kumtofautisha binadamu na wanyama wengine?Dunia hii kuna Simba na Kondoo.
Sasa wewe ushakuwa Kondoo.
Yeah, hiyo ni falsafa ambayo tukiishika itatuweka huru na kutufanya tuwe na furaha wakati wote.Mkuu huyu mtu kajilaani mwenyewe maisha yake yote hatokuja fanikiwa. Lakini cha msingi fuatilia hii falsafa ya "Give it as a charity hope nothing by"
If you are serious ni pm, ukieleza uko wapi, unafanya nini, unapokwama ni wapi, kwa nini unakwama, ungependa usaidiwe nini, mchanganuo wa unachotaka kufanya n.k.duuuh jamani!!!!!!
huyo ajielewi.
mm naomba mwenye moyo kama huyu kaka alietoa msaada wake bila mafanikio.
mm sina mtaji.
naomba tu mtu anisaidie kiasi kitakacho nisaidia kufungia kijiwe cha kahawa hapa mjini, hii ni moja ya njia ambayo huwa naamini nikiitumia ntarise mtaji ndani ya miezi mitano mpaka nane the nafungua biashara nyingine.
ni hayo tu. asanteni sana
natamani kufanya hichi kibiashara lenfo kbwa ni kupandish mtaji.If you are serious ni pm, ukieleza uko wapi, unafanya nini, unapokwama ni wapi, kwa nini unakwama, ungependa usaidiwe nini, mchanganuo wa unachotaka kufanya n.k.
Lakini badala ya ku pm, unaweza pia kuchanganua hapa anaweza akajitokeza mdau akakuunga mkono.
Swadakta! Mkuu nafikiri fikra zetu zinakaribiana sana katika hiliSi vizuri kuanzisha mada ndanibya mada ila nikipata nafasi nitawapa ushuhuda wangu jinsi nilivyowainua akina mama watatu wa Dar es salaam kutoka katika kutembeza mboga za majani hadi kuwa na biashara inayoingiza hadi laki 6 kwa mwezi. Hata baada kuona matunda wale akina mama wakavamia upatu kwa nguvu na sasa hivi hata ule mtaji wa mbogamboga hawana!
UMASKINI WA WATANZANIA TULIOWENGI HAUTOKANI NA KUKOSA MITAJI, AKILI ZETU HAZINA AKILI!