Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,436
- 2,156
Mtu anaomba ushauri Wewe unaandika first to reply!first to reply
izo sio balimi mkuu ni tabia za kitoto..mtu mzima na akili zake hawezi kufanya kitu kama hichoMtu anaomba ushauri Wewe unaandika first to reply!
Madhara ya kunywa balimi haya
Asante mkuu lakini tuna mtoto mdogo wa mwaka mmojamkimaliza kuangaliana mwambie akusanye kilichochake, akigoma jiondokee mwanaume kutafuta bwana
Aina ganiKunywa sumu
Sasa ushauri unaomba wa nini kama mtu amekuambia mkimaliza kuangaliana akusanye kilicho chake aondoke au wewe ndio uondoke..kama unaona mna mtoto mdogo basi ushauri mwingine baki na mke wakoAsante mkuu lakini tuna mtoto mdogo wa mwaka mmoja
Hili ni swali la msingi sana, ila kwa aliyekomaa ubongo. Vinginevyo ni shida, hapa utaelezwa mapungufu yako,,,,, na kukomaa zaidi ni kuyarekebisha kupitia huyohuyo uliye naye. Ndoa sio jumuiko la kiudikteta, ni maridhiano tu. Kuna wakati hata sisi wanaume huwa tunajisahau ktk mambo mengi sana ya kindoa,,, tunapelekea kusalitiwa.Hebu muulize ni kwanini aliamua kugegedwa nje!!!?
Ha haaaaa nimecheka sana.Aina gani
Wanawake wana tamaa ya hela ndefu nilijibana asikae nyumbani nikamfungulia duka la ml 3 uyu jamaa ana maduka ya jumla hapa jiranHili ni swali la msingi sana, ila kwa aliyekomaa ubongo. Vinginevyo ni shida, hapa utaelezwa mapungufu yako,,,,, na kukomaa zaidi ni kuyarekebisha kupitia huyohuyo uliye naye. Ndoa sio jumuiko la kiudikteta, ni maridhiano tu. Kuna wakati hata sisi wanaume huwa tunajisahau ktk mambo mengi sana ya kindoa,,, tunapelekea kusalitiwa.
Kama msaliti anakuonea wivu,, nini maana yake hapo? Hapendi kufanya ayafanyayo labda.