Mrejesho: Mke mwenye wivu, nawashukuru wana JF kwa msaada wenu

Kyawanjubu

JF-Expert Member
May 13, 2017
2,427
2,148
Ndugu zangu naomba nilete mrejesho wa ushauri wenu,

Ni majuzi nilifungu uzi hapa, unaosema hivi Mke mwenye wivu uliopitiliza nilipitia kila coment ya mtu wengi walinambia huyo atakua anakusaliti hivyo anajikinga.

Mimi ni muoga sana sipendagi kumfatilia hata simu yake sitakagi kushika, nilimwambia mke wangu nimeulizia kwa watalaamu wa mahusiano wameniambia wewe utakua ndo mchepukaji.

Alistuka sana mpaka nikahisi kuna kitu, juzi tumezinguana kidogo, zimepita siku tatu maelewano hakuna kabisa mpaka leo asubuhi nimeamka nikashika simu yake sikuamini macho yangu, nimekuta SMS anachat na jamaa ambaye ni mpangaji mwenzetu sehemu nilipomfungulia ofisi kwakweli nimeumia sana nilichofanya ni kumnyang'anya funguo za ofisi kuna mdogo wangu ndo kaenda kufungua, mimi mwenyewe nimeshindwa kufanya kazi nimerudi nyumbani tupo tunaangaliana tu sina cha kumfanya.

Naombeni ushauri mwingine
 
Usimuache mkeo/mumeo isipokua kwa uzinzi.
Mimi ni mwanamke lakini nakwambia ikifikia hatua mwanamke kakuchiti jua amekuchoka hadi mwisho...sisi huwa tunapenda ndo tunagawa mbunye nyinyi wenzetu huwa mnatamani tu na kusuuza rungu,huwa hampendi pengine kwa dhati kama ilivyo sisi,hakunaga bahati mbaya kwa mke wa mtu kugawa mapenzi jua kapenda
Trust me unaishi na nyoka
 
Amani katika ndoa ndiyo pekee itakufanya mwanaume uchakalike kuboresha maisha ya familia yako.

Kama mkeo kakengeuka na kuwa mchepukaji ni kwamba hakuthamini, hakuheshimu ww na ndoa yake kiujumla.

Fanya kila uwezekano kujiweka mbali na misukosuko ya ndoa.
Ni muda wa kutafuta hela huu sio kuendekeza ndoa na mke [HASHTAG]#pasuakichwa[/HASHTAG]
 
Hebu muulize ni kwanini aliamua kugegedwa nje!!!?
Hili ni swali la msingi sana, ila kwa aliyekomaa ubongo. Vinginevyo ni shida, hapa utaelezwa mapungufu yako,,,,, na kukomaa zaidi ni kuyarekebisha kupitia huyohuyo uliye naye. Ndoa sio jumuiko la kiudikteta, ni maridhiano tu. Kuna wakati hata sisi wanaume huwa tunajisahau ktk mambo mengi sana ya kindoa,,, tunapelekea kusalitiwa.

Kama msaliti anakuonea wivu,, nini maana yake hapo? Hapendi kufanya ayafanyayo labda.
 
Hili ni swali la msingi sana, ila kwa aliyekomaa ubongo. Vinginevyo ni shida, hapa utaelezwa mapungufu yako,,,,, na kukomaa zaidi ni kuyarekebisha kupitia huyohuyo uliye naye. Ndoa sio jumuiko la kiudikteta, ni maridhiano tu. Kuna wakati hata sisi wanaume huwa tunajisahau ktk mambo mengi sana ya kindoa,,, tunapelekea kusalitiwa.

Kama msaliti anakuonea wivu,, nini maana yake hapo? Hapendi kufanya ayafanyayo labda.
Wanawake wana tamaa ya hela ndefu nilijibana asikae nyumbani nikamfungulia duka la ml 3 uyu jamaa ana maduka ya jumla hapa jiran
 
unaoneka kuzama sana kwenye mapenzi mkuu,zama kwenye maisha yako yabadae pamoja na familia pendwa kutoka kwa Mungu...
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom