Mrejesho: Mini-EX wangu Amenirudia!

Mrejesho: Mini-EX wangu Amenirudia!

Habari zenu wana MMU Kama sikosei mwishoni mwa Mwezi June Nililetaa uzi uhusuo Mimi na Kipenzi changu Kuachana Basi nilimsahau kiufupi japo nilikuwa Nampenda Kiasi!
sasa kila nikitazama our old conversation nilikuwa naumia flani na nkicheki ata picha zetu za pamoja nilikuwa Naumia Kiasi!
sasa jana braza enu nikiwa mtaani na Mishe mishe zangu nashtuka namuona mtoto wa kike (hatukuonana kama miezi 6) nikashangaa kwa mshtuko na yeye vivo hivo basi hapa na pale kwa kiaibu cha Mahaba akaniambia anawahi! nami nikamruhusu daah si jion akaniibukia kunitafta nikamtania tyu kwamba pliz comeback am alone hee nashangaa mtotoo anaanza kulia anadai A nilikuwa Naumia sana kipindi chote ambapo tumeachana!
Daaah kiukweli niliduwaa basi akaniambia nimerudi kwako na namuomba Mungu Tusije achana tena na mimi hapo akili sina maana sio kwa ile shepu na uzuri!.
Kiufupi sijawahi date na mwanamke mwenye msambwanda kama huyu yaani wa kutoshaa watotoo wa mujini wanaitaa Churaa!
Anyway Leo mtotoo akatiaa timu gheto kwa Engineer Akapata Halali yake kama Mwanamke yaani Hapa napokea sms za shukrani tyu maraa eti zawad gani Nikupe!
Hahahaa Jamani Mapenzi Raaha! Hata kama kuna Kuumizana ile kityme cha Furaaha kunaa Raahaa ya Ajabu!

Anyway siku Njema Ndugu Na Amani ya Bwana iwe Pamoja Nawe!
Kosa kubwa tunalofanya katika mahusiano ni pale tunapotengana na wenzi wetu kwa zaid ya miez mitatu kisha tunarudiana na kuendeleza mapenzi kama kawaida pasipo kuzingatia swala la kucheki afya na hapa ndipo tunakufa kikondoo.Ndugu unapotengana na mwenza wako,huez jua mwenzako atachagua njia gani ya kuzituliza stress zake,wengine huwa wanaanzisha mahusiano na watu wengine ili tu wasahau matatizo yaliyopita na hapa wakikuta huyu mpenzi mpya ana matatzo kuliko yule wa zaman basi hujuta na kuamua kurud katika mahusiano ya zaman, sasa swali ni kwamba tunakuwa na uhakika kias gani kwamba tumetoka salama katika mahusiano ya muda mfupi?ni vema mnapotengana na kuamua kurudiana muangalie kwanza afya zenu kama mpo salama kabla ya kuanza kugegedana.Ni ushauri tu kutokana na experience nliyoipata kwa mdogo wangu alitengana na mwenzi wake walipokuja kurudiana akapata kaswendemangi niongeze bia nkalale
 
Ndio Maana Nawatazama Tu Wanawake Wanaosema Hawawezi Kula Matapishi Waliyoyatema
 
Basi la BM hilo limezurura miji kibao sasa limeona thamani yake imekwisha, limerudi kuzeekea gereji ya BM iliyopo Iringa Road pale Moro......... Yaani kirahisi ajilete hivyo, kugusa maneno kidogo kawa kama puto kwenye mwiba yaani pasuuuuu! Wakati alikukimbia
 
Ukiona mtu karudi ujue alipoenda kadanganywa
True...

Hivi demu aende kwa njemba inatoa mshiko wa maana na ana lihogo anajua kulitumia hawezi rudi asee!

Ukiona karudi ujue , kakopwa na kamwagwa!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Nakuona unavojikaanga utarudi hapa baada ua kiporo kuchacha
 
Back
Top Bottom