Mitha
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 706
- 1,024
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaaan we acha tuHahaaa. Na alivyompa sifa mpaka nimebaki mdomo wazi.
Sent from my HUAWEI P6-U06 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaaan we acha tuHahaaa. Na alivyompa sifa mpaka nimebaki mdomo wazi.
Ila hizo zako zimezidi hadi naona za uongo kabisa.Mimi najua ata wewe yupo mtu anakusifia
Hilo hajali yeye ilimradi msambwanda haujaisha.Watu wamemla wamemuacha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hatari hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaaan we acha tu
Sent from my HUAWEI P6-U06 using JamiiForums mobile app
Watu wameshaupakua snHilo hajali yeye ilimradi msambwanda haujaisha.
Basi sawa mdogo wangu endelea kukumbuka raha ulizopewaHapana Dada mkubwa ni kweli yaani daah apa nipo nawaza nakumbukiaa tyu
Hahahaaaaa Bro umetumiaa Lugha Kali sana sasa ulitaka Kunishaurijee!Bwege kweli acha nitumie lugha ya matusi ndo utanielewa mwanaume mwenzako...amekuacha ameenda uko ametombwaaa weee kaona ameachika ndo amerud kwako plan B uliyekuwa unamtukuza na kweli umemkaribisha kwa shangwe...anakupenda angekuacha?madogo ni lini mtakuja kuwa na maamuzi ya kigaidi?unafanywa plan B unaleta uzi wa kujisifi!
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Mtani sio kwa kunimwagia kisukuma lol. [emoji23]wasukuma wanasemaga 'shokela shokela ikashokelaga na minge' rudia rudia huwa inarud na mengi! watch it!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah kumamamaee walai ila wanawake nyny wabaya sana....[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hajashtuka tuu.... Yaan Huyo katafunwaa wee.. Ndo karudi kwa bwege lake sasa[emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Ndo hapo sasa love.. But that means bado anakukubali sana