Mrejesho: Mini-EX wangu Amenirudia!

Mrejesho: Mini-EX wangu Amenirudia!

Umbile Na uzuri ni ubatili ambao umetufanya mwanaume wengi kuwa mabwege
Hata awe Na msambwanda vip kama hana tabia nzuri utaugulia maumivu tu

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wana MMU Kama sikosei mwishoni mwa Mwezi June Nililetaa uzi uhusuo Mimi na Kipenzi changu Kuachana Basi nilimsahau kiufupi japo nilikuwa Nampenda Kiasi!
sasa kila nikitazama our old conversation nilikuwa naumia flani na nkicheki ata picha zetu za pamoja nilikuwa Naumia Kiasi!
sasa jana braza enu nikiwa mtaani na Mishe mishe zangu nashtuka namuona mtoto wa kike (hatukuonana kama miezi 6) nikashangaa kwa mshtuko na yeye vivo hivo basi hapa na pale kwa kiaibu cha Mahaba akaniambia anawahi! nami nikamruhusu daah si jion akaniibukia kunitafta nikamtania tyu kwamba pliz comeback am alone hee nashangaa mtotoo anaanza kulia anadai A nilikuwa Naumia sana kipindi chote ambapo tumeachana!
Daaah kiukweli niliduwaa basi akaniambia nimerudi kwako na namuomba Mungu Tusije achana tena na mimi hapo akili sina maana sio kwa ile shepu na uzuri!.
Kiufupi sijawahi date na mwanamke mwenye msambwanda kama huyu yaani wa kutoshaa watotoo wa mujini wanaitaa Churaa!
Anyway Leo mtotoo akatiaa timu gheto kwa Engineer Akapata Halali yake kama Mwanamke yaani Hapa napokea sms za shukrani tyu maraa eti zawad gani Nikupe!
Hahahaa Jamani Mapenzi Raaha! Hata kama kuna Kuumizana ile kityme cha Furaaha kunaa Raahaa ya Ajabu!

Anyway siku Njema Ndugu Na Amani ya Bwana iwe Pamoja Nawe!
Story yako inafanana na ya Wayne Rooney na Everton.
 
Nini shida mkuu?
c apo jamaa mtu mliachana karudi tena unampokea kwa mikono miwili naaonesha still anampenda sana we uoni kama shida iyo uyo mwanamke kamuona jamaa ni jingajinga penda penda ndomana kamua mrudia ila jamaa kama angemuonesha uanaume wake asingemrudia uyo....usipende sana ngono kijana mbaya....

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
angekua na sifa ulizotaja hapo sidhan kama angerudi kirahisi hvyo

bila shaka kuna hyperbole
 
Na uwakika atakutenda tena... Maana katakuwa kama kamchezo...
 
Hajashtuka tuu.... Yaan Huyo katafunwaa wee.. Ndo karudi kwa bwege lake sasa

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Naww hivi huo msambwanda kwenye avatar ni wako?.

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Mmmh me siwez

Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
 
Mna mpango wa kuoana au mnachezeana tu ?

Sent from my Kibamia Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
yani unazini alafu unasema amani ya Beana iwe nanyi? serious..?

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom