Mrejesho: Mdogo wangu kutafuta mpenzi

Mrejesho: Mdogo wangu kutafuta mpenzi

Niliwahi kuleta thread kuhusu mdogo wangu kuhitaji mwanaume aliye serious.

Kiufupi karibia wote hawakua serious, walitaka walale nae tu eti kisa bikra.
Mbona sikuiona hii fursa adimu. I hope bado yupo na bikra yake Paulina?
 
Watu tunavyokuwaga na uchungu na wadogo zetu wewe unamkuwadia 🙄🙄.

Reflect on your life, ups and downs za mahusiano unazojua. Is it what you wish upon your sibling?

Pia, internet is not the safest place to date. Have you thought about that?
Where is the safest place to date ?

I am also looking for a life partner[emoji41]
 
Hiyo bikra ni asset? Ni chakula? Au ni elixar of life?

Jamii za kinyani nyani ndo zinaendeleza huu upuuzi wa purity
 
Niliwahi kuleta thread kuhusu mdogo wangu kuhitaji mwanaume aliye serious.

Kiufupi karibia wote hawakua serious, walitaka walale nae tu eti kisa bikra.
mwambie aje inbox niko serious ila aje kwanza tuishi na akae na ndugu wamjue tabiia wazazi waki mpenda mienendo yake basi safari itakuwa nyepesi. sitaniiii
 
Si angelala nao wahakikishe kweli bikra mwanaume gani anataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Watu tunavyokuwaga na uchungu na wadogo zetu wewe unamkuwadia 🙄🙄.

Reflect on your life, ups and downs za mahusiano unazojua. Is it what you wish upon your sibling?

Pia, internet is not the safest place to date. Have you thought about that?
Don't be old fashioned
 
Tunaomba kwanza picha ya hyo bikra...ukute kagadisha na patex [emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom