Mrejesho: Mdogo wangu kutafuta mpenzi

Mrejesho: Mdogo wangu kutafuta mpenzi

Aiseee ana umri gani vile na anaishi sehemu gani?
 
Kwa hiyo hayo mahusiano mpaka kuja kupikiwa ni halali kisa hutamgusa?

Kwanini unadanganya nafsi yako?
Mimi nitaanza na uchumba... Siku moja moja anakuja kunipikia na anaenda zake kwao...
 
Niliwahi kuleta thread kuhusu mdogo wangu kuhitaji mwanaume aliye serious.

Kiufupi karibia wote hawakua serious, walitaka walale nae tu eti kisa bikra.
Wewe vipi hauhitaji mwanaume??
 
Niliwahi kuleta thread kuhusu mdogo wangu kuhitaji mwanaume aliye serious.

Kiufupi karibia wote hawakua serious, walitaka walale nae tu eti kisa bikra.

tuanzie hapa kwanza mnaishi wapi huenda tukaokota dodo chini ya mchungwa!!
 
Watu tunavyokuwaga na uchungu na wadogo zetu wewe unamkuwadia 🙄🙄.

Reflect on your life, ups and downs za mahusiano unazojua. Is it what you wish upon your sibling?

Pia, internet is not the safest place to date. Have you thought about that?
Internet
 
Anaharaka ya nini? Atulie tu atapata mme bora kwake.
 
Niliwahi kuleta thread kuhusu mdogo wangu kuhitaji mwanaume aliye serious.

Kiufupi karibia wote hawakua serious, walitaka walale nae tu eti kisa bikra.
Duh.... Kweli uandishi ni kipaji. Umeandika maneno... Moja, mbili, tatu... Hayafiki hata 23.

Angalau ungejazia nyama. Ungetumbia labda mwanamme wa kwanza siku ya kwanza tu alitaka wakutane guest.... Na blah blah nyingine
 
Na mie bado bikra nadhan tutaendana
 
Watu tunavyokuwaga na uchungu na wadogo zetu wewe unamkuwadia 🙄🙄.

Reflect on your life, ups and downs za mahusiano unazojua. Is it what you wish upon your sibling?



Pia, internet is not the safest place to date. Have you thought about that?

Hichi kingeresa cha malkia sielewagi kabisa bora utumiage cha kwa trump
 
Niliwahi kuleta thread kuhusu mdogo wangu kuhitaji mwanaume aliye serious.

Kiufupi karibia wote hawakua serious, walitaka walale nae tu eti kisa bikra.
mi nakutaka wewe uwe mpenzi wangu
huyo mdogo wako endelea kumtafutia tu
 
Mm apa nipo serious kama ratiba ya ndege nko singo na namuoa kbsaa tena ikiwezekana leo leo nilete posa kwa wazaz wenu....cna utani juu ya hili
 
Back
Top Bottom