Matingi litikiti
Member
- Apr 26, 2016
- 64
- 25
Napenda kuwashukuru wana JF kwa kunipa njia mbalimbali juu ya tatizo langu ambalo nililianisha jana kuhusu Jogoo langu kulala kwa mpigo mmoja 2, kwani Leo nimelifanyia kazi na nashukuru goli leo zimeongezeka na kufikia 2 na Nusu.