CPU ilifika ukaitwa ukachukue K'nyama ukaenda ukapewa. Sasa mbona huamini Posta wakati mzigo ulipata?Tatizo ndugu yangu uaminifu wa watu wa hapa POSTA za kwetu, kwanza kumbuka mzigo ukifika pale lazima waufungue wajue kama umetumiwa bomu au nini... Sasa picha linaanza watakapokuta digital camera nzuriii au iphone 7 iko pale hiivii... uwo mzigo utapotea
Mimi nilishawai kununua Vifaa Vya Electronics mf. MicroCPU, Capacitors, Sensors jamaa wa Kjitonyama pale wakanipigia simu nikachukue
Sasa agizi digital camera au iphone7 huone kama utapigiwa simu.
Mkuu wewe uliagizia nini ukapata? Labda unaweza ukaongeza imani yao
Yah kwa purchase ya mwanzo.... Then after zitakua zinajitokeza.. Mfano mimi nikitaka nunua sasahv detail zangu zote zinajitokeza automatically kuanzia simu hadi address.. So sinahaja ya kujaza kila purchase labda kama nimehama location..+255 sio Zip code. Mr Mtui Ukiandika p.o.box haina tatizo. Kitu muhimu weka mobile number na mji. Watu wa Posta wana orodha ya miji Tanzania nzima.
Mkuu angalia hz requirementsMfano: Unaitwa Mkaruka Mabhai.
0612444444 .Unakaa Dodoma. Huo mzigo utafikaje hapo Dom bila kuandika Town Location? Pobox sio lazima saaana muhimu weka town location eg: Iringa, mafinga,Dodoma,Mwanza,Musoma nk
Ndio. Mfano nipo Iringa. Naandika mobile number then Iringa. Mzigo unafika.
AndikaNdio. Mfano nipo Iringa. Naandika mobile number then Iringa. Mzigo unafika.
Uliposema unapigiwa simu kutoka uko mbele ndo nimechanganyikiwa, kizungu cha kusoma na kuandika najitahidi ila kuflow fluently hapanaWauzaji wenyewe hawajui kiingereza cha msingi ni kujua hitaji lako coz uzuri wa hii system inatumia zaidi picha na fedha.. So kutokujua english isiwe kikwazo kwako..
Address yako uliandikaje share hapa ili watu wapate vionjo tofauti.. Mimi niliitwa posta kuuTatizo ndugu yangu uaminifu wa watu wa hapa POSTA za kwetu, kwanza kumbuka mzigo ukifika pale lazima waufungue wajue kama umetumiwa bomu au nini... Sasa picha linaanza watakapokuta digital camera nzuriii au iphone 7 iko pale hiivii... uwo mzigo utapotea
Mimi nilishawai kununua Vifaa Vya Electronics mf. MicroCPU, Capacitors, Sensors jamaa wa Kjitonyama pale wakanipigia simu nikachukue
Sasa agizi digital camera au iphone7 huone kama utapigiwa simu.
Mkuu wewe uliagizia nini ukapata? Labda unaweza ukaongeza imani yao
Ebay ni platform ya wauzaji na wanunuzi mbalimbali wa bidhaa.. Kila muuzaji ana bei yake.. Usishangae ww ukanunua simu kwa usd 100 mimi nikainunua kwa USD 50..Paypal wanacontrol transaction ya fedha kati yako na muuzaji wa bidhaa ili kuleta usalama wakati wa manunuzi.yaan kwa ufupi naomba connection between ebay au nikisema seller sijakosea na hawa paypall
Nashukuru sana,nilikuwa naahirisha kuagiza kwa sababu nilijua mzigo ni kuchukulia darNdiyo
Mbele hawapigi labda kama kunaulazima.. Zaidi wanatumia emails
Nafikiri ni kwa usalama zaidi haiwezekani mtu ukawa na ela ndogo alaf ukanunua kitu cha gharama kubwa ndo mana ikawa inawashtua hao wazungu..M nmtumiaji mzr wa ebay, nmekuwa nikaagiza vitu vingi vinafika salama kabisa, na vispofika uki compalin wana ku refund fasta ishanitokea, hofu ilikuja pale nlipoa kuwa napigiwa simu toka Uingereza, na India wakidai ni ma managers wa Baclays wakitaka kujua kama kweli account n yangu, na hii ilikuwa iktokea pale na potaka kfanya malipo, either unakuta acount ina pesa kidogo au kwenye loggin ya Pay pal.
Shukurani mkuu kwa ushauri ngoja tujaribuMbele hawapigi labda kama kunaulazima.. Zaidi wanatumia emails