Ndugu wana nzengo nawasalim
Wiki mbili au zaidi zilizopita niliwaeleza kuhusu binti ambae mama alikuja nae from village na kumuacha kwangu kwamba anaenda kwa kaka kusalimia kumbe akaenda kupanda basi na kurudi, na baadae akiwa huko kijijini akapiga simu na kudai huyo aliemuacha ni mke wangu, wameniolea
Mrejesho
Kwa kweli nimekua na ugomvi mkubwa na msichana wangu Florence tangu amkute huyu binti kwangu, nilijaribu kumdanganya kuwa ni cousin yangu, baadae nikadai ni mke wa ndugu yangu kaja kwa matibabu, nikabadilisha na kusema ni mchepuko wa kaka umekuja kutoka mkoani ndio nausitiri, baada ya mvutano wa karibu 2 week finally ndipo nika admit kuwa ni mke nimelazimishwa na wazazi kumuoa
Kwa zaidi ya siku nne nyuma akawa hapokei simu zangu, jana nikaona nende alikopanga, wanawake ni watu wa ovyo sana, nashanga kufika pale nakuta kuna jitu lingine lina boxer tu limejilaza kenye kochi huku mpenzi wangu akisonga ugali pembeni jikoni, nilishikwa na hasira kali nikaanzisha vagi pale kabla ya wapangaji wengine kuja kutuamua, hivi inawezekanaje mtu tumetofautiana wiki moja mbili halaf haraka hivi umepata jitu lingine? Au alikua nalo siku nyingi?
mm sio kwamba nilimkubali moja kwa moja yule mke wa mama nilikua bado namchunguza matendo ndipo niamue, kwanza nashangaa binti wa kijijini anakata mauno hadi siamini macho yangu, amenifanyia vitu vizito mno hadi nikaogopa, kwa kweli nahitaji kuijua historia yake ndipo tuendele
Ndio maana nilitaka nimbakishe Florence around, sasa na yy ndo kanifanyia ushenzi, hovyo sana huyu binti
Najua cha kufanya