Mrejesho kutoka kwa waliowahi kutumia dawa za nguvu za kiume

Dawa za nguvu kama vitamin au dawa za preasure au diabetic. Zote zinasaidia tu performance tako ..ukitaka ya kudumu hamna kabisa
 
mie nimewahi tumia vumbi la kongo ile kitu noma haitibu tatizo ila inasaidia kuficha aibu kwa mechi za ugenini na nilipata kwa member wa jf humu humu
Kasongo au kule linaitwa KAPOMPEEE mkitaka niambieni
 
Duh!!!
 
ukitumia zile dawa original zinasaidia sana unaweza ukakesha unakula mzigo
 
Mkuu umetisha
 
mie nimewahi tumia vumbi la kongo ile kitu noma haitibu tatizo ila inasaidia kuficha aibu kwa mechi za ugenini na nilipata kwa member wa jf humu humu
nakubaliana na wewe ile kitu muhimu sna mechi za ugenini na mara mbili kwa mwezi home ground
 
Sijui nimalizie hii muvi
 
Hahahaa ulikanao uliwachungulia au ulikaa nao vip mkuu
Tumeshakaa nao kwenye kijiji kimoja huko pande za Monduli. Hii inajumuisha pissing together, occasionally swimming together, na nature ya hawa mabwana kupenda kujiachia bila soni. Ushaona wapi mmasai anaona aibu kuexpose utupu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…