Mrejesho Kuhusu Greenhouse!!!

Mkuu cheza BIKO na TATU MZUKA HUWEZI.ahhaahaa...ahhaa
 
Jirani yangu apa kauza guta zake(toyo) mbili arejeshe pesa aliyokopa kulimia matikiti, jamaa aliingia gharama kama M3 iviii kilichomkuta hata umwambie kuna mbegu za dhahabu ukipanda unavuna dhahabu hatokaaa akuelewe.

driller⛏⚒
Duh!!!
 
[emoji106]
 
umeongea vyema... kilimo hakitaki pupa, then kilimo kinahitaj nn instead?
 
Pole sana! Tens sana.
Umeandika kwa sikitiko kweli.
Hii nchi ni kubwa, ukipata mtaji na hela kidogo ya kuanzia maisha hamia shamba
 
Greenhouse itaendelea kuwa njia sahihi ya kilimo. Nchi kama Izrael inazalisha mbogamboga jangwani kuliko nchi yoyote Ulaya kwa mifumo hii ya greenhouse. Tatizo kubwa la kilimo chetu hapa TZ ni soko la uhakika,
 
Kil

kilimo cha viazi lishe,mbegu 1inauzwa sh 60.Ukilima vizuri kwa ekari unapata milioni 20,ndo habari ya mjini.Hivyo wanaonufaika ni wafanya kampeni na organization zao.
ebu fafanua "ukilima vizuri " unamaanisha nini
 
Kil

kilimo cha viazi lishe,mbegu 1inauzwa sh 60.Ukilima vizuri kwa ekari unapata milioni 20,ndo habari ya mjini.Hivyo wanaonufaika ni wafanya kampeni na organization zao.
MKUU NAITAFUTA HIYO MBEGU YA VIAZI LISHE INAPATIKANA WAPI? MIMI NIPO DODOMA MJINI
 
Kilimo Kinahitaji
1)Uuguzi na maarifa sahihi
2)Kinahitaji umakini na Focus
3) Kinahitaji Mtaji -Long term Financing.
Ukisikia zao,unajifunza kuanzia Soko, gharama za Uzalishaji,risk nk..
Kwa bahati mbaya saliva debe wengi hata Shamba hawajui look wapi!Wadau wengi ni madalali.
 
Mkuu Miradi ya GH sio miradi ya mtaani ai ya kiswahili au ya kufanywa na watu wasio makini. Sio sawa na kuuza mkaa au kokoto. Kuna mambo kadhaa yatatakiwa kuzingatiwa. La msingi lzm upate ushauri wa mtaalama hasa wa kilimo na anayeijua technolojia hyo. Mfano akushauri upimwaji wa ardhi husika, kama una kisima basi hata hayo maji yakapimwe ili kuona kama yana ubora wa kufaa kwenye mradi wa GH. Usidhani maji yeyote yanafaa lahasha. HG bado utabaki kuwa mradi mzuri sana kiuzalishaji. Tatizo liwe upande wa pili wa SOKO labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…