MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

Kwanza ulivyoanza moyo umeniuma halafu unataka kurudisha funguo? yani wewe ungekuwa mdogo wangu ungekula sana mbata ,
usirudishe funguo nenda mwambie fundi grill achomelee geti ili hata mtu akivunja kufuli asiweze kuingia labda ang'oe geti.
 
Nilichogundua kuwa we jamaaa ni mdhaifu sana kwenye mapenzi, na mapenzi yamekufanya uwe mdhaifu, kwa kifupi unakosa hile hali ya kuwa jasiri kama mwanaume,

Usindekeze sana mapenzi mzee yakakutawala, penda kwa kiasi, mapenzi yapo tu uwe na vipimo hata kama unampenda sana mtu
 
Mchepuko hauwezi kuwa suluhu ya mapenzi yaliovunjika narudia tena Mchepuko sio dawa haitibu, na wengi mnapenda sana kuitumia hii njia, kutafuta mchepuko ni kuongeza matatizo, swala ni kulikabili tatizo mungu katupa koromeo wanaume la kuhimili kasi kasi
 
Halafu mkuu unaendaje kufanya fumanizi huna hata balozi wa mtaa, mtendaji wa kijiji au basi hata mwenyekiti wa mtaa mbona unachanganyikiwa sana ukasahau vitu muhimu hivyo? Ungekua na hao watu mngeyamaliza yote pale pale na kila mtu angechukua vitu vyake, hiyo ndiyo sababu ya kutumia hisia kuliko akili ya kawaida
 
aisee pole sana kumbe mara ya kwanza akiwa na mtoto alikukuvunjia heshima yakuwa na mtu mwingine tena na hii unaipokea ila mimi nadhani unatakiwa uwe na amani ya akili kwa muda huu maishani

Kama unaona hakuna positive outcomes ni bora ujijenge maana kama una 30's chukua muda kwa ajili yako kuna matatizo mengi unaweza pata kwasababu ya mtu asiekuheshimu

mapenzi sikatai ni mazuri hasa ukifikiria moments ila isiwe kikwazo cha wewe kutofikiri tena juu yako pekee yako

Unahitaji maendeleo yako mwenyewe na haya maisha ni yako na wewe umekamilika hauhitaji nusu nyingine kutoka kwa mtu mwingine ili uwe kitu kimoja au duara moja

Your life is fully you don't need other half from another person to make it full

Mental healthy ni muhimu sana zingatiaa!
 
Na Nianze Kumtafuta mwenyewe juu ya kutekeleza hilo?
Usikosee tena sasa, umpigie simu wewe tena sio jukumu lako tena, nenda kwa mtendaji au mwenyekiti wa mtaa ampigie simu aje pale mgawane vilivyovyenu kimaandishi ili kila mtu achukue hamsini zake pasu kwa pasu
 
mkuu pole sana, ila sikushauri kumrudishia funguo huyo mwanamke.... ila inaonekana umempenda sana na kujisahaulisha kua hii dunia ina watu almost 7billion.
 
Siku fungua thread mzee tujifunzd
 
alienda kwa kubahatisha mkuu hakua na uhakika kama angemkuta mkewe
 
mkuu pole sana, ila sikushauri kumrudishia funguo huyo mwanamke.... ila inaonekana umempenda sana na kujisahaulisha kua hii dunia ina watu almost 7billion.
binafsi nilishakula kiapo staki mahusiano yaniendeshe ikitokea yakanizid nguvu natafuta kisingizio tutemane
 
alienda kwa kubahatisha mkuu hakua na uhakika kama angemkuta mkewe
Hata kama ilikua nikubahatisha, bali kuwabeba wale viongozi wakijiji ingekua vizuri kwasababu angesema tu huyu binti naachana nae na vitu vyake achukue ilikua ni kamalizana
 
Let her go!! Weka imani Mungu anakuepusha na jambo mbaya mbeleni! Najua umeumia na bado unaumia, but kumbuka it is just a phase utasahau na maisha yataendelea! Wewe sio kwanza kuumia na hautakuwa wa mwisho! Usilazimisha utaishia kuwa mtumwa! Let her go, wacha dunia imfunze!
 
Kabla ya yote ndugu moyo wako unasemaje kumwacha mtu uliempenda sio jambo rahisi ingawa inategemea mtu namtu kunawengine nirahisi shaka yetu inatokana nauzito watukio na msimamo wako kwasasa mara nyingi baadhi yawatu mazingira hayo huwa na chaguo moja kama unaona kunauzito kidogo kuamua tuliza akili unaweza kuteseka mpaka ujute lakini pia siku niliona uzi wako sikuutilia maanan inawezekana ulitaka upate ushahidi kamili ila nijambo lahatari sana kama unavosema unamshukuru mungu kweli mshukuru amekuepusha nabalaa nikupe pole endelea kumwomba mungu upate kuchukua hatua sahihi
 
Utapata shida sana na huyo mwanamke, endelea kijifanya king'anga'anizi
 
👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…