Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Wewe ni me au ke? Kama ni mwanaume umejuaje kama wanawake wanajisikia normal tu wakichepukiwa? Umewahi kuwa mwanamke ukaiona hiyo hali vile inakuwa ukichepukiwa? Au mna assume tu mwanaume akichepuka mwanamke anajisikia normal tu . Msiwasemee wanawake, na wao wanavurugukiwa mno wakisalitiwa. Usaliti unauma pande zote jamani
Fuatilia kilichoandikwa comments za nyuma nime-quote mtu amesema na ame confes hivyo. Na ni ipo hivyo ila km wew ni Me na mkeo anachapwa kila cku na unasamehe mim sina comments.
 
Ngoja waje wanawake nao waseme vile wanajisikia wakichitiwa , sijui wao hawaathiriki kisaikolojia, wanaona poa tu kina baba mjengo wakiwa na mpango wa kando
On a serious note hata sisi tuko hivyo hivyo kama nyie, tukigundua tunasalitiwa tunatamani kuondoka na ndulele zenu...sema nini wanawake wajanja sana coz kwakuwa hana pa kwenda na ile kuogopa jamii itamuonaje akiachika, anaendelea kuishi na wewe huku dyudyu anapata nje kisiri siri sana huwezi jua...basi we unajiona kiduume

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hongera mkuu binafsi ilishanitokea nikaangalia mdada wakuoa nikaona kizunguzungu nikamrudisha wife kwasasa heshima ipo watoto wanafuraha nahatua zamaisha kidogo zipo sikatai kama bado yapo lakini sijaona dalili
Kuna vipindi vya mahaba, Kuna nyakati za kuchokana, kuna nyakati za dhiki, unakuta ata kama mwenza kajichanganya kuchepuka sa zingine sababu ni wewe mwanaume/mwanamke au ni hulka tu ama tamaa, mtu anakurupuka kushauri mwenzie eti fukuza , anajua jamaa ameishi vipi na mkewe adi kufikia mkewe kuchepuka??? Naye akae ajitafakari mwanamke ni binadamu kama walivyo wanaume
 
That's nature. Mwanaume akichepuka wanawake mnajisikia normal na kusamehe ni rahhsi, but kwa mwanaume haijawahi kuwa normal this is the reason why wanaume wana-react sn pale wake zao wakichepuka na ni ngumu sn kusamehe ukigundua umechapiwa.
Asee mkuu mi nilikuwa namtania tu huyo niliyemquote ...maumivu yako sawa sawa na nyie tena sisi ni wabaya sana

Soma comment ya chini nimeelezea vizuri

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
On a serious note hata sisi tuko hivyo hivyo kama nyie, tukigundua tunasalitiwa tunatamani kuondoka na ndulele zenu...sema nini wanawake wajanja sana coz kwakuwa hana pa kwenda na ile kuogopa jamii itamuonaje akiachika, anaendelea kuishi na wewe huku dyudyu anapata nje kisiri siri sana huwezi jua...basi we unajiona kiduume

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ila kiuhalisia wanawake walipewa mioyo ya kipekee kabisa unajua unaeza ishi na limtu lina michepuko ukavumilia adi mwishowe ukawa sugu ata afanyeje unaumia kiaina afu unaendelea na mishe zako ilimradi watoto wakue katika malezi ya baba na mama usiwaathiri
 
Ni maamuzi yako Mkuu. Si kila ushauri lazima uufanyie kazi. Jana tumeona humu mchepuko anadai June 5, 2021 watakuwa wanasherehekea 15 years anniversary wamechoropoa mimba tatu na mtoto wa mwisho mchepuko anahisi yeye ni Baba.
Sawa mkuu ila tunajaribu kukumbushana mambo yenye manufaa ss niwamoja kutokufahamiana isiwe chanzo chakutokutakiana mema
 
Week inaisha sasa atupe mrejesho wa kilichoendelea
Bila shaka watakuwa tu wako pamoja sema jamaa bado ana hasira kiaina ukipita mwezi ama miezi2 watakuwa kama ndo wanaanza mahusiano........kama kila mmoja atajirudi kwa mwenzie kwa moyo wake woote for the sake of their children na kusahau makando kando ndoa yao itakuwa na amani kabisa
 
Mbona ht yeye hajachepuka na mume wa mtu!? Wew hauko perfect kihivyo ni suala la kurudisha moyo nyuma na kusameheana. Sabbu hata wew una michepuko yko mingi tu unachoshukuru ni kuwa hajawahi kukubamba bahat mbya kwake umemfumania. Funga ukurasa muanze ndoa upya kwa faida ya watoto, ondoka kakae sehemu akili ikikaa sawa urudi kweny ndoa yako..

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Kuna vipindi vya mahaba, Kuna nyakati za kuchokana, kuna nyakati za dhiki, unakuta ata kama mwenza kajichanganya kuchepuka sa zingine sababu ni wewe mwanaume/mwanamke au ni hulka tu ama tamaa, mtu anakurupuka kushauri mwenzie eti fukuza , anajua jamaa ameishi vipi na mkewe adi kufikia mkewe kuchepuka??? Naye akae ajitafakari mwanamke ni binadamu kama walivyo wanaume
Ndio zinamambo mengi sana
 
Wako pamoja siku baada ya tukio mke alitaka kugegedwa mume akagoma hadi wapime HIV ili kujua yuko salama. Jamaa anateseka sana kwa yaliyojiri.
Bila shaka watakuwa tu wako pamoja sema jamaa bado ana hasira kiaina ukipita mwezi ama miezi2 watakuwa kama ndo wanaanza mahusiano........kama kila mmoja atajirudi kwa mwenzie kwa moyo wake woote for the sake of their children na kusahau makando kando ndoa yao itakuwa na amani kabisa
 
Bila shaka watakuwa tu wako pamoja sema jamaa bado ana hasira kiaina ukipita mwezi ama miezi2 watakuwa kama ndo wanaanza mahusiano........kama kila mmoja atajirudi kwa mwenzie kwa moyo wake woote for the sake of their children na kusahau makando kando ndoa yao itakuwa na amani kabisa
Kitendo cha kuvumilia kilichotokea jamaa ameshavuka kinachofata furaha tu jiandaeni atarudi na mrejesho
 
Wako pamoja siku baada ya tukio mke alitaka kugegedwa mume akagoma hadi wapime HIV ili kujua yuko salama. Jamaa anateseka sana kwa yaliyojiri.
Na yeye avae kiatu cha mwenzie kwa yote anyoyajua juu yake ayafeel maumivu yale ndo atajua mwenzie naye aliteseka vipi....asamehe wapime maisha yaendelee hakuna mkamilifu chini ya jua
 
Mbona ht yeye hajachepuka na mume wa mtu!? Wew hauko perfect kihivyo ni suala la kurudisha moyo nyuma na kusameheana. Sabbu hata wew una michepuko yko mingi tu unachoshukuru ni kuwa hajawahi kukubamba bahat mbya kwake umemfumania. Funga ukurasa muanze ndoa upya kwa faida ya watoto, ondoka kakae sehemu akili ikikaa sawa urudi kweny ndoa yako..

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Hata haina aja ya kuondoka wakae tu kuondoka ni kuongeza vishawishi vingine Wazidi kuwa mbali
 
Ngoja tusubiri mrejesho maana wote walikuwa wanateseka sana kuhusu kuvunja ndoa yao.
Na yeye avae kiatu cha mwenzie kwa yote anyoyajua juu yake ayafeel maumivu yale ndo atajua mwenzie naye aliteseka vipi....asamehe wapime maisha yaendelee hakuna mkamilifu chini ya jua
 
Mbona ht yeye hajachepuka na mume wa mtu!? Wew hauko perfect kihivyo ni suala la kurudisha moyo nyuma na kusameheana. Sabbu hata wew una michepuko yko mingi tu unachoshukuru ni kuwa hajawahi kukubamba bahat mbya kwake umemfumania. Funga ukurasa muanze ndoa upya kwa faida ya watoto, ondoka kakae sehemu akili ikikaa sawa urudi kweny ndoa yako..

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Sasa dada yangu pamoja na kutoa ushauri mzuri kiasi hiki inakuwaje unatumia TECNO🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Back
Top Bottom