Seibaba
Senior Member
- Mar 5, 2019
- 107
- 88
NiceWakuu short story tu ni kwamba kweli yule mke wa mpemba nilifanikiwa kukutana nae ila kilichonikuta ni hiki hapa,
Kwanza picha linaanza binti kafika eneo la tukio akiwa amependeza kinyama, full kunukia nikasema Zero Leo nitafanya vile kiwanda changu cha uchakataji kinatakiwa kifanye,