Usitamani mali ya mtu mwingine lakini huyu mke wa mpemba lazima Nitaishi nae

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Binti kigori kabisa, mweupee pee, kitako cha kubinuka kama tela, hilo ijabu anavyovaa, lipsi za mdomo zilivyokaa na marashi anavyonukia ndio basi tena, siku akitupia tight bamba na kijora mchoro unavyochoreka huko nyuma zero mie niko hoi.

Tayari ameshadata na kiepe yai mixer kachori na mishikaki ya kuku ya hapa kiwandani kwangu, kwenye kiwanda cha kuchakata viazi kuwa chipsi,

Mme wake ni mpemba ana kazi kazi za kuuza uza viungo, na marashi huko mjini kati, "Ndugu yangu mpemba nikuombe tu Samahani mkeo ikipita kesho kutwa sijamlamba sijui aisee, utanisamehe sana nimeshindwa kuvumilia mkeo ni Chombo amenishawishi" Nimemtamani mkeo na tayari ameshanasa kwenye Ndoano yangu.

Ukitaka kuniroga we niroge tu, lakini mkeo lazima niishi nae.
Niko tayari.




Cc Zero IQ
 
Nakutakia kilala kheri Zero IQ but
Nakukumbusha tu kuna Uzi humu unaeleza jamaa alilalamika mahakamani kua Ostazi kamchukulia nyeti (Zakari)zake

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Aaah hii kitu haiwezekani ni kutishana tu, ingekuwa ni Rahisi hivyo basi maadui zakw wote angewatoa nyeti wengine mikono.

Lazima nimchakate mkuu
 
Back
Top Bottom