asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Mleee tu mkuu hamna namna hapo.....Mara nyingi sana mkuu, kuna kipindi mume wake alisafiri nikawa kama vile nimemuoa tuko na honeymoon
Mleee tu mkuu hamna namna hapo.....Mara nyingi sana mkuu, kuna kipindi mume wake alisafiri nikawa kama vile nimemuoa tuko na honeymoon
Binadamu hatupendani, inakuwaje ukalale na mke wa mtu, huyo kaitwa tayari mke wa mtu, unakosa kabisa huruma na heshima juu ya mwenzako?
Huoni kinyaa kwenda kwa mke wa mtu tena ambae ana..... kila siku
Hivi kweli we una roho ya kibinadamu kama hizi za kwetu?