innocentmollel
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 1,702
- 753
anataka kula hilo jicho wewe mpe tu ki hiyari akitumia nguvu atakuumiza na jicho utatoa
Ni kwelii maana atasemaa amembakaa boraa amfatee geto tu kimyakimya
anataka kula hilo jicho wewe mpe tu ki hiyari akitumia nguvu atakuumiza na jicho utatoa
Huwa nashindwa kuwaelewa bandugu
Hivi hizo series mnazosemaga ninazo huwa ndio nini?
Nilishasema mi ni mbavu nene kwa hiyo kutaka kufanya jaribio la namna hiyo kwangu sidhani hata kama amewahi kuwaza
Adhabu ya kunyamaziwa ni kali, itakutesa sana
Kwa hiyo dushe limeondolewa sehemu yake!!
labda anakufuatilia umuoneshe ile zero distance ilitokeaje..achana na wake za atu
Adhabu ya kunyamaziwa ni kali, itakutesa sana
Nawashangaa kwa jambo moja tu jamani, hivi kila habari ninayoleta hapa kwanini huwa mnaseama ni story ya kufikirika?