Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 389
- 370
Habarini ndugu ?
Ninawashirikisha baadhi ya harakati nilizofanya katika kutafuta kuandikishwa na kuwa askari JWTZ.
Ni ndoto yangu tangu nikiwa mdogo kiumri kuwa askari wa JWTZ hususa ni kuwa komandoo. Baada ya kuhitimu kidato cha nne nilitaka kwenda jeshini wazazi wangu wakanikatalia wakasema niende kidato cha tano kwa maana nilifaulu vizuri, nikaenda huko nikahitimu pia. Nilienda JKT kwa mujibu wa sheria sikubahatika kupata nafasi ya kubakizwa na kuendelea na jeshi la wananchi badae wazazi Wakanitaka kwenda chuo kikuu nikaenda kusoma nikahitimu shahada ya sayansi katika fizikia mwaka 2017.
Baada ya Kuhitimu chuo kikuu nilipambana sana kurudi jeshini ila sikufanikiwa. Nilitaka kuachana na haya masuala ya kutafuta uanajeshi lakini kila mda nafsi ikawa inaumia😭😭😭 na kuniambia kuwa ninatakiwa kupambana kwa namna yoyote ili mwishowe nikaitumikie nchi yetu ya Tanzania kupitia kuwa askari JWTZ, Ninaumia sana roho kutokuwa huko mpaka mda huu. Kwa kuwa sina mbanga wa kunisaidia nikaona mbanga ni mimi mwenyewe nikapambana.
Nikafanya maamuzi magumu sana nikabadili majina, nikafanya mtihani wa QT nikafaulu, mwaka uliofuata nikafanya mtihani wa kidato cha nne kama private candidate nikafaulu pia. Nikatafuta na nyaraka zingine muhimu nikazipata ili nikasome kozi ya afya ambayo jeshi linataka halafu nikiihitimu hiyo diploma basi nirudi JKT nikajitolee, ili nafasi za kuandikishwa JWTZ zikitolewa basi nifanye usaili nijiunge nao Tatizo likawa kupata kitambulisho cha NIDA chenye namba ya NIDA, majina na mwaka wa kuzaliwa tofauti na ile NIDA yangu ya kwanza, nilipambana kweli kweli lakini sikufanikiwa watu wa NIDA hata nilioahidi chochote kitu wakakataa na kuniambia haiwezekani. Oparesheni yangu niliyoipa jina la Oparesheni kuandikishwa jeshini ambayo ingechukua miaka saba, ikafeli !
Rejea huu uzi 👇
Nikajaribu kutafuta mtandaoni nchi ambazo zinapokea watu ambao sio hata raia wao ili wawe wanajeshi wao nikaona ni ufaransa kwa programu yao ya French Foreign Legion (FFL) lakini ni gharama sana mpaka kuweza kufanikiwa kuandikishwa FFL maana kuna gharama za visa za kusafiria, kuna nauli ya ndege, kuna hela ya kutumia kipindi mchakato wa usaili ukiendelea, na sina hiyo hela maana kwa sababu sijafanikiwa kujiunga na JWTZ labda ningefanikiwa kule FFL kwa kutumia hela.
OMBI KWA JWTZ: Kuna askari mna umri wa kuweza kuwa hata baba zetu lakini bado mpo jeshini. Kuna vijana tuna umri mdogo kuliko ninyi tunahitaji sana kuwa askari wa JWTZ, tunaomba mtupe nafasi na sisi pia tuje huko tutumikie wote hii nchi kupitia huko maana tunahitaji sana, Tusije kufa na ndoto zetu hazijatimitia. Roho inaniuma sana kukosa jeshi na miaka yangu hii 34 wakati kuna watu mna miaka 50 bado mpo sana mkilitumikia jeshi letu miaka kumi au na zaidi ya hapo, kwa nini mtubague sisi tulio na umri wa chini yenu ? Vita ikitokea mtatuwekea vigezo hivyo hivyo mnavyotuwekea au mnahisi tunafuata posho za jeshi tuu 😭😭😭 ? si tungekuwa wafanyabiashara kama malengo yetu ni kuwa mabilionea ?
Tafadhali tupeni nafasi, tukifia mazoezini kwa sababu ya umri wetu mnaoita ni mkubwa, ni vizuri tuu tutajivunia kuwa tumefia mazoezini JWTZ kuliko kufa kwa visababishi vya hovyo.
Ninawatakieni majukumu mema.

Habarini Ndg ?
Mimi ni kijana mtanzania, umri miaka 26.Ninahitaji kuwa mwanajeshi JWTZ lakini km mnavyojua, hiki kitu kimekuwa kigumu sana kwa miaka hii kwani kuna uwezekano Wa mtu kwenda JKT ili badae awe mjeshi JWTZ lakini asiweze kufanikiwa kuwa hivyo wala kwa namna nyingineyo pia, akarudi nymbani tuu baada ya kupoteza muda Wa miaka miwili ( mitatu) ya JKT.Kwa hiyo, ninaomba mtu mwenye uwezo Wa kunisaidia nikaingia JWTZ moja kwa moja bila kupitia JKT, Ani PM tuongee vizuri ili niende huko.Siyo kwamba nahitaji kuwa huko kwa sababu ya uchumi mbovu Wa mtaani, au kwa sababu ya pesa ya huko...

- Himidt Lengo
- Replies: 189
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko