Mrejesho baada ya TBC kufunga mitambo mipya...

Mrejesho baada ya TBC kufunga mitambo mipya...

Nimegundua japo huwa wengi wanajifanya hawangalii ukweli na uhakika,kumbe waangalia ni wengi kutokana na comments hapo juu
 
Tbccm..watangazi wanatangaza wakiwa wamejikaza kama wapo gwaride,habari inasomwa kama mtangazaji kashikiwa mtutu wa bunduki,No relaxation..
Kwenye picha sasa,waweza sema mtu kamwagiwa vumbi,Eti kituo cha taifa,fyekelea mbali Mkurugenzi..
 
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kuna wadada wamakonde wawili huwa wananichekesha kweli afu wabadili na background yao tumeichoka
 
Huwa siangalii tbc, kwa mantiki hiyo siwezi kutoa maoni yangu kuhusu usikivu/kuonekana sauti/picha. Nevertheless I have a general comment; ukinunua Mercedes Benz mpya kabisa lakini ukamkabidhi dereva incompetent na gari ikawa haionyeshi kufanya vizuri kwa namna yeyote iwayo ile; utamlaumu dereva; mnunuzi, au kiwanda kilichounda wa hilo gari?
 
HABARI WADAU HUMU NDANI JUZI KATI KATIKA PITA PITA ZANGU HUMU NILIONA UZI UKISEMA TBC KUFUNGWA MITAMBO MIPYA VIPI MWENYE MREJESHO WOWOTE ULE KUNA KILICHOBADILIKA?....TBC UKWELI NA UHAKIKA

NAWASILISHA
Eti mitambo mipya ! mitambo ya kufungwa masaa mawili kweli ?
 
Kuna wadada wamakonde wawili huwa wananichekesha kweli afu wabadili na background yao tumeichoka
MZEE BABA UMEWAJUAJE KM WAMOKONDE BACK GROUND YAO SI YAKI KUCHAPA KAZI ZAIDI WATANGAZAJI WAMENUNA KM MAROBOTI
 
HILI SHIRIKA NI BORA LIBINAFSISHWE TU NIMEKAA LEO NAANGALI TAARIFA YA HABARI KARBU NUSU SAA NZIMA NI MWENDO WA MADARAJA FLYOVER DRIMU LAINA MATANGA HAYANA VICHWA WALA MIGUU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom