mtoto wa kipare
Senior Member
- Jan 3, 2018
- 187
- 196
Hii app n kiboko kiukweli kama una roho nyepesi unaweza ukafa na presha kama MTU mpenzi wako hajtulia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuelekezane namna yakudukuaKuogopa kumdukua mpenzi/mke/gf/bf wako sababu ya kuogopa kuumia ni uzuzu.
Mimi nimeshafanya yangu siku si nyingi ntakuja na ushuhuda mzito.
Mkuu hiyo mobile tracker ni lazma uidownload kwanza ktk sm unayotaka kuidukua auMobile tracker usijarib mkuu lkn
Sent from my iPhone using JamiiForums
Alijua kuwa unadukua simu yake ndio maana alijifanya anawakazia kwa kuwa umeshamuani sasa watu ndio wanakula mzigo kiulaini kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora ujue mapema kuwa yule mtoto wa pili ni wa jirani 😂 😂 😂 kuliko kuja kujua akiwa ameshapata kazi 🙌🙌🙌Muda wa kudukua simu ya wife sina maana michepuko ninayo kibao...
Jambo usilolijua halikuumizi kwanini ulufatilie wakati hutaki kuumia????
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂uliandika wosia kabisa auMoja kati ya posts zilizokiki sana kwenye hili jukwaa ni pamoja na kudukua simu za wapenzi wao, nyuzi nyingi zilikuw znazungumzia hili suala me nimekamilisha tyr zoez hili gumu
Bila kupoteza time, siku10 zilizopita bibie alinipa sim yake niichaji kwakuwa pasword nazifaham ikanijia idea ya kudukua
Niliamua kufanya hivo ili nijiridhishe je nikweli bibie anayosema nipo peke angu? Au tuko wengi?? But nilikua tyr kwa lolote ntakalo kutana nalo.
Bada ya kuistall application kwa phone ake, hii application ni kiboko unaweza sikiliza call zote au download, unaweza block mtu kama anamsumbua gal wako bila yeye kujua, unaweza block application yyt kwenye cm ake tuseme ww ndo unakua ruban umeshika remote.
Kiukwel kwa kipindi cha siku10 nilichodukua sijakutana na kitu chochote kibaya kwa simu yake kma kuchepuka nk zaid nilikuwa naona wahun wanavosumbua inbox na bibie akiwakaziaa,
Kudukua sim ya mwenza wako ni kosa na usije jarib kama wewe roho ako ni nyepes utakuja kufaa buree, cha muhim ni kuaminiana tu basi. Don't try coz muda wote unakua na presha tu hasa pale unavopekua sms, calls nk. ONYO USIDUKUE SIMU YA MPENZI WAKO.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Udugukuzi ni dalili yakutojiamini. Kama una roho ndogo usithubutu.Moja kati ya posts zilizokiki sana kwenye hili jukwaa ni pamoja na kudukua simu za wapenzi wao, nyuzi nyingi zilikuw znazungumzia hili suala me nimekamilisha tyr zoez hili gumu
Bila kupoteza time, siku10 zilizopita bibie alinipa sim yake niichaji kwakuwa pasword nazifaham ikanijia idea ya kudukua
Niliamua kufanya hivo ili nijiridhishe je nikweli bibie anayosema nipo peke angu? Au tuko wengi?? But nilikua tyr kwa lolote ntakalo kutana nalo.
Bada ya kuistall application kwa phone ake, hii application ni kiboko unaweza sikiliza call zote au download, unaweza block mtu kama anamsumbua gal wako bila yeye kujua, unaweza block application yyt kwenye cm ake tuseme ww ndo unakua ruban umeshika remote.
Kiukwel kwa kipindi cha siku10 nilichodukua sijakutana na kitu chochote kibaya kwa simu yake kma kuchepuka nk zaid nilikuwa naona wahun wanavosumbua inbox na bibie akiwakaziaa,
Kudukua sim ya mwenza wako ni kosa na usije jarib kama wewe roho ako ni nyepes utakuja kufaa buree, cha muhim ni kuaminiana tu basi. Don't try coz muda wote unakua na presha tu hasa pale unavopekua sms, calls nk. ONYO USIDUKUE SIMU YA MPENZI WAKO.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Siyo kweli ukiwafata inbox wanakupawhat a funny joke,,
Kila mtu anayesema amedukua hatajagi jina la application utadhani ni siri ya kutengeneza nuclear bomb north korea.........
Faza hebu nipe maelekezo kidogo ya kuitumia hii app, unainstall kwenye simu ipi nakadhaliikaHii app n kiboko kiukweli kama una roho nyepesi unaweza ukafa na presha kama MTU mpenzi wako hajtulia.
Sent using Jamii Forums mobile app
. Hahahaaaaaa kweli kabsaaaa hawatajag hata xjui kwann!!!!what a funny joke,,
Kila mtu anayesema amedukua hatajagi jina la application utadhani ni siri ya kutengeneza nuclear bomb north korea.........