Mrejesho baada ya kudukua simu ya mpenzi wangu

Mrejesho baada ya kudukua simu ya mpenzi wangu

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Moja kati ya posts zilizokiki sana kwenye hili jukwaa ni pamoja na kudukua simu za wapenzi wao, nyuzi nyingi zilikuw znazungumzia hili suala me nimekamilisha tyr zoez hili gumu

Bila kupoteza time, siku10 zilizopita bibie alinipa sim yake niichaji kwakuwa pasword nazifaham ikanijia idea ya kudukua
Niliamua kufanya hivo ili nijiridhishe je nikweli bibie anayosema nipo peke angu? Au tuko wengi?? But nilikua tyr kwa lolote ntakalo kutana nalo.

Bada ya kuistall application kwa phone ake, hii application ni kiboko unaweza sikiliza call zote au download, unaweza block mtu kama anamsumbua gal wako bila yeye kujua, unaweza block application yyt kwenye cm ake tuseme ww ndo unakua ruban umeshika remote.
Kiukwel kwa kipindi cha siku10 nilichodukua sijakutana na kitu chochote kibaya kwa simu yake kma kuchepuka nk zaid nilikuwa naona wahun wanavosumbua inbox na bibie akiwakaziaa,

Kudukua sim ya mwenza wako ni kosa na usije jarib kama wewe roho ako ni nyepes utakuja kufaa buree, cha muhim ni kuaminiana tu basi. Don't try coz muda wote unakua na presha tu hasa pale unavopekua sms, calls nk. ONYO USIDUKUE SIMU YA MPENZI WAKO.
 
what a funny joke,,
Kila mtu anayesema amedukua hatajagi jina la application utadhani ni siri ya kutengeneza nuclear bomb north korea.........

Mobile tracker
IMG_3901.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom