Nyamisangura
Member
- Jan 4, 2018
- 87
- 109
Ndani ya wiki 2 nilijitahidi sana kutokuangalia videos za X na nilijiepusha kukaa mwenzangu kwa muda mrefu, sasa hivi nikikutana na mpenzi wangu ninachukua dakika 50 ndio ninapizi kabla ya hapo nilikuwa ninachukua dakika 15 na pia bado mpaka sasa nikisha pizi uume haulali kitu ambacho mwenzangu anadai amechoka anahitaji kupumzika kitu ambacho kinanikela yaani naona ananibania kunipa raha.
Ikumbukwe kipindi ninapiga pull nikikutana na msichana nguvu hazikuwa stable kama sasa yaani mpaka ninajishangaa.
USHAURI: Ninapenda kuwashauri vijana wenzangu waache pull bila kusahau kuangalia filamu za X kwani kama hauna mpenzi lazima upige pull