Mrejesho ajali ya coaster Tanga

Pole sana Kipumbwi. Nadhani dereva alikuwa mzembe sana na kupita kiasi. Sioni sababu ya maana ya kutokea ajali katika sehemu ilipotokea hiyo ajali.

Pole Kipumbwi. Mungu arehemu roho za waliopoteza maisha. Innalilah wainailah rajiun.
 
Wakuu kwa kila mmoja wenu mbarikiwe,madhila hayaishi ila sala na upendo ni ngao na daraja pia.
Muwe na baraka tele
 
Hizi habari za ajali zinatuliza sana! Pole sana ndugu Mungu azidi kuwapa uponyaji na faraja pia.
 
Pole ndugu yangu!! Mungu nimwema sana, akujalie upone haraka. Uko hospitali gani Tanga mjini, kama hutajali nije kukuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…