Huyu mama ni Vice President wa TUCTA sasa na pia alikuwa Mkurugenzi LAPF sasa yuko Wizarani serikali za mitaa baada ya kufanyiwa mizengwe na wala rushwa wa LAPF. Kabla ya hapo ashawahi kufanya kazi kama Mkurugenzi wa mji Sumbawanga (alisababisha madiwani wote wakose kura baada ya kuanzisha ugomvi baada ya kumlazimisha kuwapa allowance zilizo nje ya uwezo wa halmashauri Sumbawanga Mjini wanamjua huyu mama na wanamzimikia mpaka leo) kama mnakumbuka kuna wakati habari yake ilitokea gazeti za Uhuru zikisema akataliwa ila baadae gazeti likaomba msamaha), Mkurugenzi halmashauri ya Mpwapwa na ukiulizia rekodi zake ni kuwa alikuta accounts hazina hela akaacha hizo account full mapesa! Elimu yake ana MBA in Human Resources and Administration. Hii ni kwa kifupi
Mimi ninamfahamu huyu mama kwakuwa nilifanya nae kazi Iringa wakati huo akiwa meneja wa kanda LAPF miaka ya 2005-2008.
Huyu mama ni MKOROFI KULIKO MNAVYOMFIKIRIA. Anazo hizo qualifications za utawala lakini kwenye masuala ya Relations na wafanyakazi wenzake huyu mama ni SIFURI. Hana lugha nzuri, mbabe, anakutumikisha anavyotaka na ole wako umchallenge! Alimfukuza kazi dereva wake alikua anaitwa Mwakingwe kwa sababu za kipuuzi, Mwakingwe akakata rufaa akashinda akahamishiwa Arusha. Hafai.....
Kwenye hiyo nafasi ya Ubunge Pinda anam-back-up, nasikia wanamahusiano (sina hakika ni mahusiano ya nini kwakuwa huyu mama HANA mume) na walifahamiana huko huko Sumbawanga (kwa hulka yake ni vigumu kuwa na mume) ingawa ni mzuri sana(sura+body structure)
Ukiwa unaongea nae hivi kwa mara ya kwanza kama humfahamu, utajua huyu ni mtu wa maana, mzoee uone!!
Nafasi aliyonayo Mama Six yeye pia aliigombea 2005 akaangukia pua.
Anapenda siasa, anatumia muda mwingi kwenye siasa, LAPF Hawamtaki sio kwa sababu ya RUSHWA ila kufanya kazi na huyu mama kunahitaji UWENDAWAZIMU adhawaiz utafeli tu.
Huu ni UKWELI, Geza ulole usiudanganye umma wa great thinkers bana