Simple there is swahili proverb "Zimwi likujualo halikuli likakwisha" end of the story.- Ni lazima ujue kwanza forces zilizohusika kumtoa kwa dhamana, the dataz ni kwamba nguvu kubwa ya ukabila ilitumika tena na wenye nafasi kubwa sana Nationally sasa na zamani, sasa hii ni in your face message kwa Muungwana na waziri wake wa sheria, don't you dare again!
- Nani anabisha?
Respect.
FMEs!
Great thinkers?!!!
Hakuna hata mmoja wenu ambaye ameweza kueleza sababu za kisheria zinazomzuia Mh Mramba kuwa makamu mwenyekiti wa Tanrods - Kilimanjaro.
Wekeni hoja yenye nguvu ya kisheria na si maneno matupu.
Mnashangaa nini? Mbona Patel ana kesi ya kujibu lakini alipewa tenda kubwa kabisa ya kuingiza matrekta kwa ajili ya wakulima? Hao wote ni jamaa zake JK. Na ninafikiri kwa kukubali kwao kudhalilika kwa kusimama mahakamani watalipwa mipesa ya kumwaga. Acha tuendelee tu kujipa mahope kwamba JK amewashitaki mafisadi. Tumepigwa changa la macho wanawane!
Great thinkers?!!!
Hakuna hata mmoja wenu ambaye ameweza kueleza sababu za kisheria zinazomzuia Mh Mramba kuwa makamu mwenyekiti wa Tanrods - Kilimanjaro.
Wekeni hoja yenye nguvu ya kisheria na si maneno matupu.
Great thinkers?!!!
Hakuna hata mmoja wenu ambaye ameweza kueleza sababu za kisheria zinazomzuia Mh Mramba kuwa makamu mwenyekiti wa Tanrods - Kilimanjaro.
Wekeni hoja yenye nguvu ya kisheria na si maneno matupu.
Great thinkers?!!!
Hakuna hata mmoja wenu ambaye ameweza kueleza sababu za kisheria zinazomzuia Mh Mramba kuwa makamu mwenyekiti wa Tanrods - Kilimanjaro.
Wekeni hoja yenye nguvu ya kisheria na si maneno matupu.
Great thinkers?!!!
Hakuna hata mmoja wenu ambaye ameweza kueleza sababu za kisheria zinazomzuia Mh Mramba kuwa makamu mwenyekiti wa Tanrods - Kilimanjaro.
Wekeni hoja yenye nguvu ya kisheria na si maneno matupu.
Hivi ni Mungwana yupi atawapereka mafisadi segerea. Bado mna tumaini kuwa iko siku huyo mungwana wenu atawapereka. Pole sana Tanzania.
Great thinkers?!!!
Hakuna hata mmoja wenu ambaye ameweza kueleza sababu za kisheria zinazomzuia Mh Mramba kuwa makamu mwenyekiti wa Tanrods - Kilimanjaro.
Wekeni hoja yenye nguvu ya kisheria na si maneno matupu.
jamani kweli kikwete anapambana na ufisadi?
huyu mtu anatuhumiwa ni mchafu...
awekwe pembeni watanzania hatuna imani naye