Wadau nimepata interest ya kufuga ng'ombe wa Maziwa, naomba mwenye ufahamu aniambie ni aina gani ya ng'ombe wanaostawi maeneo ya Pwani yaani maeneo ya joto. Je wako ng'ombe ambao ni lazima wafugwe maeneo ya baridi? Naomba ushauri wenu.
Pale Tanga kuna shamba linaitwa Mruazi dairy farm na wao wanao Ngombe wazuri. Huyu mzungu anao Ngombe kwa mazingira ya pwani. Ni mbegu toka Brazil. Ngombe wake wanazaa majike tu
Pale Tanga kuna shamba linaitwa Mruazi dairy farm na wao wanao Ngombe wazuri. Huyu mzungu anao Ngombe kwa mazingira ya pwani. Ni mbegu toka Brazil. Ngombe wake wanazaa majike tu
Huyo mzungu unaweza kumpata kwenye ofisi ya Tanga fresh. IPO karibu na tanesco. Ukifika hapo ulizia ofisi yao. Ni mradi ambao wanazalisha Ngombe ambao wanahimili mazingira ya huku. Bei yao ni 1.4 mil mwenyewe mimba na akizaa ni Mtoto wa kike.
Kuna shamba LA serikali kule handeni linaitwa Mzeri pia lina Ngombe wazuri(halijulikani sana ingawa nishamba kubwa). Bei zao sio mbaya. 2013 ilikua 900000 mwenyewe mimba na 700000 hajapandishwa. Karibu name shamba hilo liko la Lowasa nasikia wanauza lakini sijanunua hapi

Kule Mzeri Ranch niliwaona Boran lakini sikuwafuatilia. Nilisikia tu Kongwa waweza kupata Ngombe au mbegu sake AIMkuu Matibula tunashukuru sana kwa kushare hizi data. Sorry unawafuga wa nyama pia au ni wa maziwa peke yake?
Ungeuliza habari ya wadada ungeambiwa fasta
search google ngombe wa maziwa page ya kwanza ya jamii forum wadau wamechambua vizuri hopefully hutotoka bureMwenye ufahamu wa hii kitu.ng'ombe wa kisasa wa maziwa yaani wanapatikana wapi, bei gan aliekaribia kuzaa na mambo mengine mengi naombwa mwenye ufahamu anipe ABC
Mradi wako ulifikia wapiWadau ninampango wa kufuga ngombe wa maziwa wa kizungu, kwa ajili ya biashara ya maziwa ila sijui changamotom zake, mwenye elimu na hii biashara anipe mwongozo jamani.
Natarajia kuanza na ngombe mmoja mwenye mimba.
thnx mkuu japo humu pia watakuepo wataalam na hata wafugajiNatumaini watafute watalaam wa mifugo ambao wanaweza kukushauri aina ya ng'ombe unaotakiwa kununua. Watalaam wanapatikana Wizaraya Kilimo.