Asante
JF-Expert Member
- Dec 18, 2009
- 2,084
- 1,076
Wadau nimepata interest ya kufuga ng'ombe wa Maziwa, naomba mwenye ufahamu aniambie ni aina gani ya ng'ombe wanaostawi maeneo ya Pwani yaani maeneo ya joto. Je wako ng'ombe ambao ni lazima wafugwe maeneo ya baridi? Naomba ushauri wenu.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/184671-holstein-friesian.html