Mathematician
JF-Expert Member
- Nov 8, 2009
- 326
- 108
Najaribu kusearch humu ndani sioni thread ya ufugaji ng'ombe!!! mwenye ufahamu links please....Ndio, mbuzi madume wakihasiwa mapema wanakuwa wakubwa sana. Vipi haki za wanyama umezingatia?
Najaribu kusearch humu ndani sioni thread ya ufugaji ng'ombe!!! mwenye ufahamu links please....Ndio, mbuzi madume wakihasiwa mapema wanakuwa wakubwa sana. Vipi haki za wanyama umezingatia?
Nipo Dar mkubwandugu mwanahisabati, wewe uko wapi ili ushauriwe/uelekezwe maeneo unapoweza pata hao ng'ombe karibu na ulipo ili kupunguza gharama za usafiri.
Au huo umbali au ukaribu uwe considered from Rufiji...?
Msaada kwenye tuta.Habarini GTs,
ningeomba mwenye ufahamu ni wapi naweza kupata/kununua ng'ombe bora mbegu za kisasa wa maziwa na wa nyama kwa hapa TZ anijulishe ninataka kuanza kufuga somewhere huko rufiji.
Natanguliza shukrani....
Kwa Ng'ombe wa mziwa bora kabisa njoo ubungo darajani. Njia ya mwenge utapata g'ombe bora wa maziwa kutoka arusha.
Ndio, mbuzi madume wakihasiwa mapema wanakuwa wakubwa sana. Vipi haki za wanyama umezingatia?
bei inategemea na aina. Wewe ukiitaji fika hapo darajani utaona boma la ng'ombe bse biashara ya kitu ambacho hujakiona ni ngumu. Utoaji wa maziwa unategemea malisho na aina ya ng'ombe. Ukifika itakuwa vizuri.Bei zikoje? Pia uwezo wa kutoa maziwa ukoje?
bei inategemea na aina. Wewe ukiitaji fika hapo darajani utaona boma la ng'ombe bse biashara ya kitu ambacho hujakiona ni ngumu. Utoaji wa maziwa unategemea malisho na aina ya ng'ombe. Ukifika itakuwa vizuri.

Biashara yangu siyo ya mtandaoni. hapa unapewa tu taarifa kama ni muhitaji wa bidhaa utakuja kuwaona. Maelezo yote hayo ni specific kwa ng'ombe mmoja mmoja so siwezi kuyatoa hapa kiujumla jumla. Ukifika unapewa maelezo yote kwa kila ng'ombe. Ng'ombe wanaouzwa hapa wote wana mimba. Na mara nyingi tunapendelea kuleta ng'ombe ambao ni cross siyo pure kwasababu ng'ombe kama Freshen wanamaziwa sana lakini hawaimili hali ya hewa ya dar na maeneo mengi ya joto. Kwa wale ambao hawapo dar ni ngumu kuwaudumia labda wawe wanaitaji wengi ksababu ya cost za usafiri. Biashara ya wanyama ni tofauti na biashara ya bidhaa nyingine ndiyo maana nikasema ni vizuri kuona mwenyewe na kuiridhisha kwa kuuliza maswali yako yote eneo la tukio.Sema una Ng'ombe aina gani? Uzao wa ngapi? Wanatoka shamba gani? Unauza wakiwa na umri gani? Je wana mimba ama lah? Average wanatoa maziwa kiasi gani? Sio unaleta mambo ya ramli hapa akatoe litre 3 uniambie sijalisha vizuri...Biashara ya kitu hujakiona ndiyo ipoje? Watu wanaagiza mzigo China?
Biashara yangu siyo ya mtandaoni. hapa unapewa tu taarifa kama ni muhitaji wa bidhaa utakuja kuwaona. Maelezo yote hayo ni specific kwa ng'ombe mmoja mmoja so siwezi kuyatoa hapa kiujumla jumla. Ukifika unapewa maelezo yote kwa kila ng'ombe. Ng'ombe wanaouzwa hapa wote wana mimba. Na mara nyingi tunapendelea kuleta ng'ombe ambao ni cross siyo pure kwasababu ng'ombe kama Freshen wanamaziwa sana lakini hawaimili hali ya hewa ya dar na maeneo mengi ya joto. Kwa wale ambao hawapo dar ni ngumu kuwaudumia labda wawe wanaitaji wengi ksababu ya cost za usafiri. Biashara ya wanyama ni tofauti na biashara ya bidhaa nyingine ndiyo maana nikasema ni vizuri kuona mwenyewe na kuiridhisha kwa kuuliza maswali yako yote eneo la tukio.