Mradi wa Kilimo wa Waziri Bashe Dodoma ni Utapeli

1. Umejaa rushwa
2. Vijana waliochaguliwa ni wa mijini ambao hata hawajawahi waza kilimo
3. Umejaa matumizi mabaya ya fedha za umma.
4. Umeletwa kwa muhemko kuliko uhalisia.

Vigezo vinavyo chochea rushwa

1. Kijana anapewa ekari 10 for free pamoja na hati, shamba linadafishwa na anaruhusiwa kukopa bank kwa kutumia hiyo hati ya ekari 10. Hivyo vijana wanacho taka ni kuwa na hiyo ekari 10 na sio kufanya kilimo.

Wazo mbadala.. Vijana walitakiwa kuja na kukodi (makato wakati wa mavuno) hayo mashamba ili kutoa fursa kwa vijana wengine pale kijana anapo shindwa kuendelea na kilimo.

2. Uchaguzi wa vijana hauna uwazi

Vijana walitakiwa kuleta mawazo yao na sio kuandika barua tuu .. wakitakiwa wafanyiwe interview na wanataaluma na wakulima wenye uzoefu pamoja na taasisi za kifedha ili kupata vijana makini na wenye malengo ya udhubutu kwenye kilimo.

3. Mafunzo miezi 4

Hii inaonyesha ni danganya toto, kwenye nchi yenye vijana zaidi ya mil 20 wanao weza kuwekeza kwenye kilimo, kuwaweka vijana 200 kwenye kambi ya miezi 4 eti wataleta mapinduzi ya kilimo ni utapele kama sio utakatishaji wa fedha.View attachment 2585484
Kama mradi unasimamiwa na watumishi wa serikali,wale wale wenye kizungu kiiiingi,lakini TTCL,ATCL zimewashinda,ni upigsji tu
 
Unadhani Benki ni wajinga kama wewe? Eti fedha zitatoweka? Kwa hiyo unaona wakitoa uso tu wanaondoka na hiyo hela!!

Haya mambo hamjuyajuwa, Hussein Bashe ameyaleta, lazima kuwe na mahali pa kuanzia. Wameanza hao 800 wakifanikiwa kama pilot then mwaka unaofuata wanaongezeka wengine.
Wewe Msomali koma acheni kuwafanya Watanzania wajinga, mtalipa gharama ya wizi wenu
 
Unadhani Benki ni wajinga kama wewe? Eti fedha zitatoweka? Kwa hiyo unaona wakitoa uso tu wanaondoka na hiyo hela!!

Haya mambo hamjuyajuwa, Hussein Bashe ameyaleta, lazima kuwe na mahali pa kuanzia. Wameanza hao 800 wakifanikiwa kama pilot then mwaka unaofuata wanaongezeka wengine.
Kawadanganye madogo wa 2000+,sie tuliokuwa vijana 2005+,tunakumbuka kilimo kwanza,na matokeo makubwa sasa,yote hayo yalifanywa kisiasa kuongeza umaarufu wa Kikwete,haya tuambie ksmpeni ya kilimo kwanza iliishia wapi?alipoingia Jiwe,akaja na TZ ya viwanda,eti tunajenga na pesa ya ndsni,kumbe fala linakopa kama shangingi Fulani la kizaramo,hata hii maisha plus ya bashe itapita tu,ni channel ya upigsji tu
 
Kilimo cha kwenye makaratasi..

ila afadhari na vijana wale ili mwakani CAG awataje na wao kuwa ni wapigaji....uzuri wa ngoma kuingia na wewe kucheza
 
Kawadanganye madogo wa 2000+,sie tuliokuwa vijana 2005+,tunakumbuka kilimo kwanza,na matokeo makubwa sasa,yote hayo yalifanywa kisiasa kuongeza umaarufu wa Kikwete,haya tuambie ksmpeni ya kilimo kwanza iliishia wapi?alipoingia Jiwe,akaja na TZ ya viwanda,eti tunajenga na pesa ya ndsni,kumbe fala linakopa kama shangingi Fulani la kizaramo,hata hii maisha plus ya bashe itapita tu,ni channel ya upigsji tu
Umehamisha magoli kutoka kwenye BBT kwenda kwenye kilimo Kwanza. Huna hoja, jikite kwenye suala la BBT.

Mimi kwa taarifa yako nilikuwa mvulana wakati wa kilimo cha kufa na kupona, enzi za Nyerere
 
Utapeli wa kiwango cha juu sana na pesa ziliotolewa zitayeyuka bila mtu yeyote kuhoji kwa mafanikio zilikoenda
Maombi yanatumiwa kwa njia ya mtandao,,Mtoto wa mkulima aliye na simu, ni ile ya kitochi, imefungwa kwa "ruberband"

Kutoka kijijini kwenda mahari internet cafe ilipo, Nauri yake ni mtaji wa debe la dagaa,,

Wenye akili tukacheka, MKULIMA HALISI Ndiye mtu wa Kudanganywa,,
Kama kweli mradi wenyewe upo basi unawenyewe,, kabla hata haujawekwa mezani.
Mkulima na mtoto wa mkulima halisi, ndio mitaji ya kupatia ubunge na udiwani,, ukimuondoa kwenye umaskini kesho utamhonga nani Tshart na chumvi,,!?
 
Umehamisha magoli kutoka kwenye BBT kwenda kwenye kilimo Kwanza. Huna hoja, jikite kwenye suala la BBT.

Mimi kwa taarifa yako nilikuwa mvulana wakati wa kilimo cha kufa na kupona, enzi za Nyerere
Kufa na kupona.... Na kweli tulikufa.... Hatujapona mpaka kesho....
 
Ile nia ya dhati ya kukinusuru kilimo bado.
 
1. Umejaa rushwa
2. Vijana waliochaguliwa ni wa mijini ambao hata hawajawahi waza kilimo
3. Umejaa matumizi mabaya ya fedha za umma.
4. Umeletwa kwa muhemko kuliko uhalisia.

Vigezo vinavyo chochea rushwa

1. Kijana anapewa ekari 10 for free pamoja na hati, shamba linadafishwa na anaruhusiwa kukopa bank kwa kutumia hiyo hati ya ekari 10. Hivyo vijana wanacho taka ni kuwa na hiyo ekari 10 na sio kufanya kilimo.

Wazo mbadala.. Vijana walitakiwa kuja na kukodi (makato wakati wa mavuno) hayo mashamba ili kutoa fursa kwa vijana wengine pale kijana anapo shindwa kuendelea na kilimo.

2. Uchaguzi wa vijana hauna uwazi

Vijana walitakiwa kuleta mawazo yao na sio kuandika barua tuu .. wakitakiwa wafanyiwe interview na wanataaluma na wakulima wenye uzoefu pamoja na taasisi za kifedha ili kupata vijana makini na wenye malengo ya udhubutu kwenye kilimo.

3. Mafunzo miezi 4

Hii inaonyesha ni danganya toto, kwenye nchi yenye vijana zaidi ya mil 20 wanao weza kuwekeza kwenye kilimo, kuwaweka vijana 200 kwenye kambi ya miezi 4 eti wataleta mapinduzi ya kilimo ni utapele kama sio utakatishaji wa fedha.

View attachment 2585484
Tumewaambia bashe ni tapeli hamtaki, sasa kusafisha ekari moja mil 16.haaaa
 
vijana wako shambani we laza damu tuh
Hao vijana wana ccm wa mjini wapo makambini wanafundishwa kilimo.
Wakati kuna vijana kibao wamemaliza degree za kilimo sua hawana mbele wala nyuma
Bashe ni tapeli
 
kama hakufikiwa kwa sasa asikate tamaa
 
Back
Top Bottom