Kaka yangu ongeza speed bora uvunjike miguu kuliko ukufe mapema. Ukikufa mimi nitakuwa namueleza nani shida zangu?Dada, asante kwa taarifa ya msingi kabisa. Kweli nimeamini unaipenda dada wangu...
Sitaku kukufa haraka.
Siamini macho yanguJamani jamanii
Wape taarifa mabebez wako woote!
Sitaki wanitoe kizazi mie!
Nimeona dadangu kakuita baby ndo maana nikauliza ivo!Mimi uwe unaniita Babe.
Wao uwaite baby..hiyo ndiyo tofauti.
Taarifa tunazo na hatunaga choyo. KaribuJamani jamanii
Wape taarifa mabebez wako woote!
Sitaki wanitoe kizazi mie!
Hahaha hahaha hahaha hahahaSiamini macho yangu
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Umpange mara ngapi
Naunga mkono hoja....Kaka yangu ongeza speed bora uvunjike miguu kuliko ukufe mapema. Ukikufa mimi nitakuwa namueleza nani shida zangu?
Wewe si ndio umeamua kushea na mimi dada yako nitafanyaje sasaHahaha hahaha hahaha hahaha
Hivi wewe si dadangu
Haha unajua bado nakumbuka...siku ile nilivyokujibu hadi ukaanza kuniita superstarHahaha hahaha hahaha hahaha
Nisamehe dadangu... Le superstar ni kakangu kipenzi
Alivyokuwa ananipa unanipa? Si inawezekana eeh?
Nimkave vipi?