Mr. Romantic

Nyama zetu za ulimi..//
Zikikutana asali..
Bonyea chini..//
Chagama kama tayari..
Leo tule nn..//
mkate kwa kachumbari..
si unanijuaga mimi..//
Kitandani huwa hodari..
 
Kumbee na wanaume je?

Wanaume hakuna kitu, wanaishia kukusifu tu ila hawatoi sapoti.

Ila wanawake wakikusifu wananunua kazi zako, au kuwalazimisha wenza wao kwenda kwenye matamasha ya muhusika.

Watoto watawalazimisha wazazi kuwanunulia tape/CD za wahusika etc (Mf Mr Nice)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…