Mr Rocky: UNATISHA MADHEE!!!!!

Last edited by a moderator:

Mkuu Mwanyasi asante sana mkuu
Ila kumweka Erickb52 idara ya vinywaji ni balaa kesho ataamkia kwenye mtaro akiwa hajitambui ila akiwa salama Mamndenyi nimemiss sana aise na kuna mtu anaitwa kiwatengu pia nimemkosa sana
 
Last edited by a moderator:

Aaaaaaaaaaaaaaaakabisa inabidi ufanye hivyo haraka iwezekanavyo
 
Mkuu Mwanyasi asante sana mkuu
Ila kumweka Erickb52 idara ya vinywaji ni balaa kesho ataamkia kwenye mtaro akiwa hajitambui ila akiwa salama Mamndenyi nimemiss sana aise na kuna mtu anaitwa kiwatengu pia nimemkosa sana

Kwa hiyo kazi hiyo Erickb52 atasaidiwa na Filipo ili ku'balance'
Mamndenyi tulikuwa nae kwenye kikao pale Travetine
lakini kasema anajiaandaa kwenda kusimamia kazi ya "uhesabuji" watu kule "Kibaha" mwezi ujao. kiwatengu anavuna gesi tu kule........
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…