mr PREZ..

610x.jpg


Mambo mswano kwa saaaana mwana wane....... Msiwe na wasiwasi, ni swaumu ........ ahhh Kisukari na Pressure.

Hivi Raisi akipata matatizo, na akawa amebebwa namna hii ni lazima wapite naye kwenye zulia jekundu?
 
anataka watoto waoze meno washindwe kuwa mafisadi baadae eti nini peremende kwa kiingereza au nakosea ahaa pipi pole yetu walala hoi hata hiyo hatuwezi kununua
 
inamaana anatembea na pipi au hakuwa na pesa za kumpa sijui
hapo wapi au kwa jamaa zangu wale hakina nikabona waituu
Conquest-bakuli la pweza ni thamani kuliko bakuli la pipi
 
39631_416033737687_573177687_4896098_6460786_n.jpg


Mnamsemaga bure hebu ona anavyothaidia,eti pipi si ndio basic need ya watoto wa tanganyika eeh!!!
is it lovely or anoying!!?u decide!.
lav u all.

huyo mtoto shule hukalia tofali na kuweka daftari kwenye magoti anapoandika au kusoma, does your pres know this?
 
heri akupaye elimu kuliko chakula tena pipi anewei tuombe Mungu

elimu atapewa kwa kuimarisha sera bora za kielimu bana hapo kwenye gari angempaje elimu??? zawadi ya papo kwa hapo ilionekana ni pipi!!! mtoto akipewa pipi anajisikia vizuri saa nyingine kuliko kiatu!! pipi ni kwa watoto na watoto kwa pipi bana. Ila ninachoshangaa ilikuwa huyu mtoto akapata hii nafasi, je aliitwa na rais njoo uchukue pipi? .....amaizing! na kwanini aliyepiga picha aliona ni muhimu sana apige hii picha? je aliombwa na JK? je alitaka kutuonyesha nini? natamani ningejua alifkiri nini kabla ya kuipiga na kuipablisaizi picha hii!!!!
anyway ila kwanini mtoa mada ameanza na kusema mnamsemaga bure ona anavyosaidia! hivi ni kweli ana maanisha akuwa pipi ni msaada au ni njia ya kuprove watu?
mix with yours
 
Jamani nakumbuka ile picha empiga na bibi kizee mmoja..alafu ikaandikwa TUNAWAJALI WAZEE!!!
Mtu mmoja aliitafsiri vizuri sana: yani akishappiga picha na wewe hivyo anakuacha ili ubaki ivoivo na kesho apate mtu wa kupiga naye picha za kudanganyia wananchi..huyo bibi mpaka sasa anaishi nyumba ile ile..wakati basi ata angemwekea kanyumba ka mbao...i couldn't agree more!!!
arrrrrrrrrrgh...inanchefua!
 
Pipi kitu gani unawezakuta huyo mtoto akirudi nyumbani hajui atakula nini!
 
wewe mdada mweusi huwa sikuelewi hasa linapokuja suala la huyu mbaba kikwete........................!ila nimegundua unapomuongelea huwa unamaanisha kinyume...................!mara unampigia kampeni mara unamsanifu kama hapa....................!maana huku ni kumsanifu...................!
 
JAMANI, AMEANZA KUKAA 'FRONT SEAT' KAMA WALILIA-KIFO WA KAWAIDA? Hivyo tukubali Raisi wetu ni Mtu wa Watu, au?
 
Back
Top Bottom