wapandie hewani hapa:
kikwete....0754..777775
pinda....0754...301630
Makinda...0754..465226
mke wangu anakaribia kujifungua,sijui hayo mahospitali ya private,..(sijui aga khan,kairuki)kama nitayaweza...walipeni hao madokta jamani.
Habari!!
Nakadiria huu mgomo wa madaktari unaozidi kuongezeka kila kukicha na kuwa hatari sana kwa Watanzania wasio na hatia utapelekea maelfu ya Watanzania kufa kwa kukosa huduma itakayopelekea Watanzania woote kuingia barabarani kukushinikiza uondoke maana una dhalau kwasababu haiwezekani Rais wa nchi, ukakaa kimya bila kutoa tamko lolote ilihali watu wanakufa kwa kukosa huduma, ninaamini kuna watu watakuwa wamekwisha anza kufa ila takwimu hazitolewi.
Plz usisubiri watu waingie barabarani kwa hili, jikaze ndugu yangu toa tamko japo watu wanakusema vibaya kwamba katika hili hutaki uonekane mbaya kwa upande wowote.
Kwahiyo unawalazimisha na hawa jamaa waingie kwenye kundi letu la mbayuwayu. Bilashaka na wewe ni mwanaAPOLO mwenye permanent visa ya India.DO NOT drag Presidential powers over matters which the law has already assigned to other organs. Briefly, doctors strike is ILLEGAL. The strike has no support in law. Medical doctors should now see the importance of joining trade unions like TUCTA. Im surprised that medical doctors do not know that there are procedures under Labour Laws for them to carry out strikes. Medical doctors are not late. They should go to the ESSENTIAL SERVICES COMMITTEE, COMMISSION FOR MEDIATION AND ARBITRATION instead of breaking the law.
Hotuba nzuri zilishatusaidiaga nini? Kwa taarifa yako Waziri Mkuu ni mmojawapo wawaliochangia kulikuza tatizo Hili. Alikuwa na nafasi kubwa ya kumaliza tatizo ila either alishauriwa vibaya na kutopewa taarifa sahihi, aliagizwa vibaya amalisa alilichukulia kisiasa. Tulichomnukuu ni vitisho vyake (madaktari warejee mahospitalini, otherwise wamejifukuzisha kazi), Kupeleka madaktari wa kijeshi huku akijua madaktari wore kwa ujumla wao hawatoshi hata theluthi, na mbaya zaidi kutuletea hadithi ya kuwa Dr. Ulimboka si daktari. Kikubwa walitaka wananchi tuamini madaktari ndiyo wabaya kwa kutoyazungumzia matatizo ya msingi, kumbe afya ya binadamu haiitaji propaganda wala mwongozo wa mh. Spika. Hatua za haraka na uwajibikaji zinahitajika.MM,respect to you.I respect ur ideas but I dont think if ur closely following this issue.Govt Leaders have done a lot to meet doctors and listen their demands but they appear to ignore.u as an intellectual u should be critical enough to know the effort done by both sides of the this mgomo ie govt as the mdaiwa and doctors as mdai.U seem to blem one side with out clear ellaboration as to how and what has been done by mdaiwa so far to end this dying conflict.NAKUOMBA USOME HOTUBA NZIMA YA WAZIRI MKUU BAADA YA MA DR KUMKIMBIA.TANZANIA KWANZA.......................
mke wangu anakaribia kujifungua,sijui hayo mahospitali ya private,..(sijui aga khan,kairuki)kama nitayaweza...walipeni hao madokta jamani.
Alisema atatafuta muda wa kuongelea swala la Madaktari ,,,jamaa hayuko serious hata kidogo, muda wa kuzunguka anao ila muda wa kukaa na kutafuta ufumbuzi wa matatazi hana
tangu mwanzo kikwete amwkuwa mtu wa kusingizia wengine!!! taifa likiingia kwenye mgogolo yeyey huwa anadai ''mimi sikuwepo'' ndio kauli yake hiyo......kwa kifupi mimi sioni na wala hana leadership qualities zozote!!! sitegemia lolote jipya toka wa huyu
Mr. President,
At the end of the day this ultimately is your choice how to end the strike; you can force the doctors to go back to work by using security apparatus of the state; you can jail some of them and indeed you can even import substitute doctors from wherever you find them. The facts on the ground will remain the same – our healthcare system is broken, unsustainable and needs extensive and comprehensive reform.
Yes sir, you can ignore the problem, you can belittle the doctors and indeed you can even dismiss all doctors. Indeed, you can force them to come back to work and they might come back to work but the damage to the reputation of your leadership has been done (some might say once again). I beseech you to consider taking a prompt intervention by talking with the doctors – not talking to the doctors! Only negotiations as I said should bring to a halt this strike. Without negotiations which end with a comprehensive deal our nation should prepare itself for a longer strike or another strike in the near future.
Mr. President,
once again your nation is waiting to see your leadership. Our people are longing to see you lead. DO NOT LET THEM DOWN.