Mr. President... Please don't do it. tomorrow..

Katika viongozi wote wa Afrika, Mugabe anamuheshimu Kikwete tu! Licha ya udogo wake kwake. Na Kikwete analijua hilo, na hivyo anatumia turufu yake vizuri, hataki kumkorofisha mzee. Bob anachotaka ni kuonyeshwa tu kuwa anaheshimiwa na kaondoka kwa hiari yake na si kwa kulazimishwa na mtu. Na hilo karibu atalifanya.

Tusubiri mkutano wa SADC kesho Mauritius.
 
Mimi ni member mpya wa JF, hongereni kwa maoni. Kwa leo kilichonigusa ni hii issue ya kusema kuwa yanayotokea Zimbabwe, yaliyotokea Kenya na Somalia na Dafour ni aibu kwa Afrika, jamani hee!! Haya maufisadi ya Tanzania sio aibu mbona hamkuyataja? Kwamba ni aibu kwa Tanzania na Afrika! Eti ni nchi ya amani na mfano wa kuigwa! Amani wapi wakati watu wanachukua mabilioni ya pesa halafu wanaviita eti vijisenti. Kwa hiyo inatakiwa huyo mheshimiwa aje amalize kwanza hili lililopo hapa nyumbani, hayo ya Zimbabwe atayatolea tamko akiwa hapa nyumba na hata akiyatolea tamko huko hayatuhusu ki-hivvo bwana Zimbabwe ni sehemu ya Afrika. Hivi baba unaweza kwenda nyumba ya jirani kusuluhisha mgogoro wa kifamilia wakati kwako kunawaka moto, ni sawa na kusema mtoto wa mwenzako kashindikana wakati wakwako ndio hafai hata kutizamwa.
 
huyo Kikwete anayeogopwa amemaliza ziara zake huko ulaya? Hivyo atahudhuria huo mkutano huko Mauritius? Na kama hasipohudhuria atakayemwakilisha atasikilizwa kama ambavyo angesikilizwa yeye Kikwete personaly?
 
Back
Top Bottom