Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,416
Ng'ombe hazeeki mainiToto limeshiba haswa
Hapo hata namba zingekuwa sabini angekariri mzee
Sio matamanio tu. Pia inasababisha upungufu wa zile nguvu zetu pendwa. Men are visual creatures. Sasa hapo ametizama tuuuuu nguvu zinapotea bure. What a waste! Wadada jistirini ile mfaidike na element of surprise!Kivazi alichovaa huyo mwanamke ndio chanzo cha matamanio
We Pata kitambi uone kiuno na matakk vinavyopotea.....vionvozi wa kiafrika hakunaga edit ndo tulivtoHiyo Picha Ni Edit haina ubishi!
angalia huyo jamaa, hana kiuno wala tako!
majanga tu!
hahahahahaha
Mithali : Mlango 28
Duh huyu mzee kabaki kurenew dushe tu.