englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
wassira?:evil:
Mkuu hakuna jinsi ni lazima tuchague viongozi,ndiyo maana lazima tuendelee kupiga kura bila kuchoka!Unaweza kuandika kurasa za kutosha kutokana na kinachoonekana kwenye picha. Kweli wanasiasa wana vituko. na uchaguzi ukifika bado tunawapigia kura pamoja na vituko wanavyotufanyia baada ya kuwachagua.
Bila shaka!Picha imefikisha ujumbe