Kua Mr nice guy au bad boy naona mara nyingi hua ni swala la muonekano na sio character, wanaume wengi wanaoitwa nice guys ni wanaume wenye sura mbaya wasioweza kupata wanawake kirahisi, wanawake wengi wanawakataa,udhaifu mkubwa wa mr nice guys ni kushindwa kutwist emotions za wanawake..i agree...sababu hawako EXPERIENCED, THEY ARE NOT WORTH ANYTHING...
Hizi terms kama nice guy, bad boy, alpha male, beta male mara nyingi hazihusiani na character, zinahusiana na muonekano wa mwanaumeWanawake hamjui mnataka nini izo zingine ni blah blah. Kama hauwezani na nice guys mbona simple kabisa. Wewe jiweke kwa bad boys then waache nice guys na maisha yao, sio kumtaka nice guy aende sambasamba na delusions zako za kishetani.
Kwamba nice guy alieamua kuheshimu mwili wake na heshima yake unataka awe mtombaji holela ili tu apate validation yako. Kwamba nice guy anaeamini katika diplomasia unataka awe dikteta. Wema ndio character yake ndivyo alivyo kama hauwezi nenda kwa badboys
Now money runs the game doesn't matter ur out look., Face , character or personality.Hizi terms kama nice guy, bad boy, alpha male, beta male mara nyingi hazihusiani na character, zinahusiana na muonekano wa mwanaume
Nice guys in general wengi hawana sura nzuri ndo maana wanakataliwa sana, bad boys wana sura nzuri ndo maana wadada wanawapenda,
Beta males hawana sura nzuri, alpha males Wana sura nzuri ndo maana wanawake wanawapenda..
Natafuta Ajira
Anasema husband material ni sexSex ingekuwa ndiyo foundation ya ndoa, basi wanawake au wanaume ''wanaujua'' ku-sex ndoa zisingevunjika. Tatizo wengi mnadhani sex ni kile kitendo mnafanya kitandani tu. Sex ina mambo mengi mno, kuanzia mnavyoishi, mnavyoheshimiana, uaminifu etc...
Uko sahihi mkuu. Mwanamke wa kiswahili tangu utotoni nakuwa amefundishwa kuwa uke wake + uzuri ndiyo kila kitu na kupata au kukosa inategemea anavyoutumia.Anasema husband material ni sex
Then MTU akisema nice guy anakuwa anamanisha MTU ambaye yupo yupo anaendeshwa nafikiri wanatafsiri hivi.
Ila kwa uelewa wangu Nice guy ni MTU positive hapendi negativity .
I don't think sex inaweza kumtambulisha MTU Kama nice guy or whatever .
Wanawake wakiswahili most of them ni sex driven , they have nothing to offer in relationship.
Wakikutana na Mwanaume ambaye a-entertain sex ndo pale wanatunga majina yote.
Kwakuwa they think that they can can having all they want kupitia sex that's none true
plus wanawake wa kingoni na kitangaAnasema husband material ni sex
Then MTU akisema nice guy anakuwa anamanisha MTU ambaye yupo yupo anaendeshwa nafikiri wanatafsiri hivi.
Ila kwa uelewa wangu Nice guy ni MTU positive hapendi negativity .
I don't think sex inaweza kumtambulisha MTU Kama nice guy or whatever .
Wanawake wakiswahili most of them ni sex driven , they have nothing to offer in relationship.
Wakikutana na Mwanaume ambaye a-entertain sex ndo pale wanatunga majina yote.
Kwakuwa they think that they can can having all they want kupitia sex that's none true
Anaangaika tu huyo .Na bado!
Utahangaika wee lakini hapa lazima urudi. Mwenyewe unajua hivyo. Neng'eneka tuu
HaaaaI'm good guy
Inasikitisha na kufikirika .Uko sahihi mkuu. Mwanamke wa kiswahili tangu utotoni nakuwa amefundishwa kuwa uke wake + uzuri ndiyo kila kitu na kupata au kukosa inategemea anavyoutumia.
Jamaa muongo kweli wewe, haya mawazo angeyatoa KE ningemuelewa, sasa sijui wewe umewezaje kuact kama waoMzuka JF?
Wengi wa mr Nice Guys wanakuwa wamelelewa zaidi na mama/wanawake baba anaweza awe hayupo ama yupo lakini yupo literally ABSENT ....unakuta wanakuwa hawako balanced wanakuwa na attachment na mama zaidi....yeye kila kitu ni mama, mama ndio ana decide pesa yake inatumika vipi na mama ndio kimbilio lake akiwa na chochote kinachomsibu, including misunderstanding kati yake na partner wake.....siku zote kama mke utajihisi powerless na hutokuwa na maamuzi na ndoa yako.....
La muhimu zaidi nililotaka kuzungumzia ni SEX, usiolewe na mr nice guy hawajui kusex, si ajabu kumkuta yule mvaa vitenge ni bikira ama unakuta senior bachelor ashawahi kuwa na girlfriend mmoja tu au bikira hana experience. Sasa wewe jichanganye uolewe nae, hujui kutopata good sex ndio mwanzo wa moods swing, irritability na Cheating?????? asikwambie mtu foundation ya any relationship ni sex. Sasa usipopata good sex utanuna, utakuwa mgomvi utacreate unhappy home, na lenyewe halitaelewa litakukwepa na kupeleka attention kama sio kwa mamake basi kwa mchepuko!
Tumeambiwa sisi wanawake tukishafanya umalaya tunatafuta mr nice guys tunatulia nao kwa ndoa, sijui ni uongo sijui ni ukweli.,....ila kama divorce rate iko juu na wanaoolewa sio mabikira....tunaweza ku derive kwenye one conclusion; hatuolewi na Mr Nice guys kama wengi wanavyodhani, ni makurumbembe tunaolewa nayo otherwise yangetulia ndoani.
Sabato njema?Na bado!
Utahangaika wee lakini hapa lazima urudi. Mwenyewe unajua hivyo. Neng'eneka tuu
Ndo yoyote ile ambayo malengo yao makuu ni kufanya sex haiwezi kudumu.Mzuka JF?
Wengi wa mr Nice Guys wanakuwa wamelelewa zaidi na mama/wanawake baba anaweza awe hayupo ama yupo lakini yupo literally ABSENT ....unakuta wanakuwa hawako balanced wanakuwa na attachment na mama zaidi....yeye kila kitu ni mama, mama ndio ana decide pesa yake inatumika vipi na mama ndio kimbilio lake akiwa na chochote kinachomsibu, including misunderstanding kati yake na partner wake.....siku zote kama mke utajihisi powerless na hutokuwa na maamuzi na ndoa yako.....
La muhimu zaidi nililotaka kuzungumzia ni SEX, usiolewe na mr nice guy hawajui kusex, si ajabu kumkuta yule mvaa vitenge ni bikira ama unakuta senior bachelor ashawahi kuwa na girlfriend mmoja tu au bikira hana experience. Sasa wewe jichanganye uolewe nae, hujui kutopata good sex ndio mwanzo wa moods swing, irritability na Cheating?????? asikwambie mtu foundation ya any relationship ni sex. Sasa usipopata good sex utanuna, utakuwa mgomvi utacreate unhappy home, na lenyewe halitaelewa litakukwepa na kupeleka attention kama sio kwa mamake basi kwa mchepuko!
Tumeambiwa sisi wanawake tukishafanya umalaya tunatafuta mr nice guys tunatulia nao kwa ndoa, sijui ni uongo sijui ni ukweli.,....ila kama divorce rate iko juu na wanaoolewa sio mabikira....tunaweza ku derive kwenye one conclusion; hatuolewi na Mr Nice guys kama wengi wanavyodhani, ni makurumbembe tunaolewa nayo otherwise yangetulia ndoani.
Sabato njema?
Foundation ya any marriage ni sex, usidanganywe na mtu yeyote....usipomfikisha mkeo utacreate unhappy home...I agree sex isn't the only thing kwenye ndoa lakini ni important pia sielewi kwa nini mnaidismiss wakati is enough kuvunja ndoa....infact the only major reason ya kuvunjika ndoa ni sex....Ndo yoyote ile ambayo malengo yao makuu ni kufanya sex haiwezi kudumu.
Kuna kitu kinaitwa marginal utility (kwa kadiri unavyotumia kitu fulani sana ndivyo unakizoea na ukinaifu unatokea na kukiona cha kawaida tu kama vitu vingine)
Tambua ya kwamba tendo la ndoa kwa partiners linazoeleka ndo maana wengi waliotia nia saaaana kwenye hili huwatulii hata kidogo.
Jambo jingine hatuoani ili kuoneshana show kali hadi vitanda vipasuke, Laa hasha, kuna mambo ya msingi pia kama Uchumi, malezi ya watoto, na mambo ya kiroho pia.
Tambua ya kwamba akili ikiegemea kwenye tendo ili ndoa iwe na furaha maana nyingine unaukarbisha uzinzi na uasherati kwenye maisha yako, Fikiria mwenzio amesafiri mwezi mzima, Je utafumilia na wakati unataka SAMBALIOKA kila siku?
Change your mind, it will help you to change your thinking
Nawasilisha mwenyekiti
Utayaelewa kama tu topic yangu umeshindwa kuelewa kum a wewe
Mwisho wa haya yote ni kulishika kwenye usingo Maza na mwisho kumalizia kuwa na mwanaharakatiMzuka JF?