Mr.HUSSEIN BASHE

Mr.HUSSEIN BASHE

Joined
Oct 14, 2018
Posts
66
Reaction score
63
Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
 
Hii CCM ya mafisadi wauaji,....bashe mwenyewe alibanwa korodani na mlango kwa sababu ya kuongea his mind,mimi baada ya NAPE ni BASHE kuna mapungufu kila mtu anayo ila Bashe asiposoma alama za nyakati atauwawa kisiasa na huenda akatengenezewa kifo BASHE HUSEIN hama chama cha mapinduzi,njoo huku tupambane na Lissu atakuwa ametia nanga mbona utanikumbuka.
Niwieni radhi kwa uandishi shaghalabaghala.
 
Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Dalali huyo wa wasomali wenzie kwenye kupata vibari vya kuingiza sukari nchini watu wa pwani tunasema afai hata kwa kulumagia...
 
Wakati mwingine tu tubadilishe katiba tuweke wagombea binafsi hapo nauhakika tunaweza pata wabunge kama hawa makini sana si lazima wagombee kwenye vyama vyao.
 
Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Kwanza team Monduli, Pili hatuongizwi na Msomali.
 
Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Nadhani sio katika kundi la kuaminiwa na Maghufuli. Katika siasa kila mtu yupo kwenye inner circle Fulani.

Pili, ambalo ni muhimu, jamaa kwa kweli bado inabidi afanye some homework kwa sababu mengi anayoongea si ya kweli.
Facts nyingi anazoongea ni za kupika kama alivyo Zitto Kabwe. Tatizo ni kwamba, ukipinga serikali (ambayo ni haki ya msingi) una uhakika wa kudhaniwa kuwa una uelewa mkubwa na unafikiri nje ya sanduku.

Ila huwa wanaongea kwa hisia kama waimbaji wa R&B. Mtu anaeongea kwa hisia, muogope mara nyingi ni mnafiki. Ndiyo maana waimbaji wengi wa R&B siyo watu wazuri kwenye mapenzi.

Tafuta clip ya hotuba moja uliyoipenda ya waheshimiwa hawa waili, nitakuonyesha wapi wanapokosea dakika kwa dakika.
 
Huoni hata hata kuchukua ushauri wake utatusaidia hata kutatua baadhi ya changamoto kuliko kumpuuza kwa vile ni mtanzania msomali ni haki kweli?
Nilijaribu kuonesha kwanini jamaa aangaliwi..!

Mwalimu Nyerere alisema hatuwezi kumbagua mtu kwa kabila lake na hatuwezi kumchagua kwasababu ya kabila lake.
 
Kuchambua,kuongea na urais ni kitu kingine,hata Polepole alikuwa ni mchambuzi mzuri sana wa katiba aliyekuwa pamoja na wananchi baada ya kupata kawaacha wananchi utafikri siyo Polepole yule wa katiba mpya.
 
Nadhani sio katika kundi la kuaminiwa na Maghufuli. Katika siasa kila mtu yupo kwenye inner circle Fulani.

Pili, ambalo ni muhimu, jamaa kwa kweli bado inabidi afanye some homework kwa sababu mengi anayoongea si ya kweli.
Facts nyingi anazoongea ni za kupika kama alivyo Zitto Kabwe. Tatizo ni kwamba, ukipinga serikali (ambayo ni haki ya msingi) una uhakika wa kudhaniwa kuwa una uelewa mkubwa na unafikiri nje ya sanduku.

Ila huwa wanaongea kwa hisia kama waimbaji wa R&B. Mtu anaeongea kwa hisia, muogope mara nyingi ni mnafiki. Ndiyo maana waimbaji wengi wa R&B siyo watu wazuri kwenye mapenzi.

Tafuta clip ya hotuba moja uliyoipenda ya waheshimiwa hawa waili, nitakuonyesha wapi wanapokosea dakika kwa dakika.
Nimekuelewa sana mkuu,kwamba kwenye safu ya viongozi lazima uweke watu unaowaamini ambao una iman nao hawataweza kukuchimba na kukuangusha mbele ya safari,haijalishi anaongea ama kuchangia kwa kiasi gani kwenye hotuba zake,kingine nadhani tuwe wakweli wabunge wengi ni wavivu kutafuta taarifa na kufanya simple research ndio maana wanaahindwa kutoa facts hivyo kupelekea jamaa kuonekana 'kichwa' kuliko wengine!
 
Kuna watu wanaamini wazalendo wa kweli ni lazima wawe wajukuu wa Zwangendaba tu kama sisi. Yaani Bantu, the rest sio wazalendo.
 
Nimekuelewa sana mkuu,kwamba kwenye safu ya viongozi lazima uweke watu unaowaamini ambao una iman nao hawataweza kukuchimba na kukuangusha mbele ya safari,haijalishi anaongea ama kuchangia kwa kiasi gani kwenye hotuba zake,kingine nadhani tuwe wakweli wabunge wengi ni wavivu kutafuta taarifa na kufanya simple research ndio maana wanaahindwa kutoa facts hivyo kupelekea jamaa kuonekana 'kichwa' kuliko wengine!
Hata mawaziri. Wengi wao kwa kweli mungu atusamehe.
Ukichunguza kwa umakini, pale mjengoni asilimia 75% ni usanii.
 
Back
Top Bottom