Mr Hassan Ngoma ni nani?

Linamo

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
9,976
24,494
Namuangalia hapa Clouds muda huu anachambua Elimu hawa watangazaji hawajamuelezea sawasawa wamemtambulisha Kama mtaalamu wa elimu.

Pia wamesema ni mmiliki wa chuo cha Mlimani professional study kilichopo Kimara.

Nimevutiwa na uchambuzi wake kuhusu elimu yetu.

Naomba taarifa zake zaidi kwa anayemjua.
 
Namuangalia hapa clouds muda huu anachambua Elimu hawa watangazaji hawajamuelezea sawasawa wamemtambulisha Kama mtaalamu wa elimu. Pia wamesema ni mmiliki wa chuo cha Mlimani professional study kilichopo Kimara.
Nimevutiwa na uchambuzi wake kuhusu elimu yetu.
Naomba taarifa zake zaidi kwa anayemjua.

Nafikiri waandaaji wa vipindi vya aina hiyo huwa wanatowa muda kwa watazamaji na wasikilizaji kushiriki mjadara husika kwa kuchangia/kuuliza maswali kwa njia mbalimbali za mawasiliano.Ingependeza zaidi kama ungetumia fursa hizo kumuuliza mhusika ajitambulishe zaidi kwako kuliko kukimbilia jukwaani kutuuliza sisi wakati muhusika unamuona/unamsikia
 
Huna msaada katika hili ungepita tu si lazima uchangie. Maana mpaka nimeuliza ujue nimekosa majibu hivyo usikurupuke. Hongera kwako unayejua kila kitu.
 
Ulitaka nikusaidie nini zaidi ya ushauri niliokupa? Kwani kuna ugumu gani wa kumuuliza mhusika ambaye umetuambia unamfuatilia live kupitia luninga ya clauds?
 
Huyu jamaa shamuona sana kipindi kwenye kampeni aise anauwezo wa kuchambua kila sekta, big up kwake.
 
Ulitaka nikusaidie nini zaidi ya ushauri niliokupa? Kwani kuna ugumu gani wa kumuuliza mhusika ambaye umetuambia unamfuatilia live kupitia luninga ya clauds?
Hujaweza nijibu nilichouliza nyamaza watanijibu wengine unaleta kujua Sana.
 
Wabongo wengi wanaweza kuchambua vitu vingi kwa umahiri mkubwa lakini wakiingia uwanjani kucheza inakuwa vice versa. Kusimamia mikakati ya muda mrefu hatuwezi kabisa.
 
Back
Top Bottom