Maliza tuu mkuu,usidhulum nafssi maana inaonyesha hata wewe kwake taabanHi everyone
Kama mwezi nikiwa kiwanja na marafiki,tukipiga maji ya dhahabu nikakutana na Mr mmoja.yuko Ok,ilitokea tukiwa dancing floor akaja kacheza nami.Anajua kucheza and I liked his company for the night.
After mziki tukabadilishana mobile no and tumeendelea kuwasiliana since that day.
The issue ni kuwa napenda company yake ya kudance ila its like anataka kwenda extra Miles.sasa kumjibu straight nimeshindwa nimebakia kuignore calls zake most of the time.
Mbaya zaid he is good looking and ana very innocent face.Shost yangu alinishauri si mbaya nikionja even once,akasema nanukuu kinga si zipo waogopan? Naogopa nisije fall
mazima mweeeh,manake siku hizi wana kula na kusepa wanasema wenyewe vijana wa mjini.
Au moyo sukuma damu na si vingine.
hahah aisee! kwa hyo ukiwa huna virgin you have nothing to fear anymoreFuata ushauri wa shosti
Hata hivyo huna cha kupoteza unless you are still a virgin
U mean stupidi??Sex makes women stupid, but makes men even more stupid.
Hi everyone
Kama mwezi nikiwa kiwanja na marafiki,tukipiga maji ya dhahabu nikakutana na Mr mmoja.yuko Ok,ilitokea tukiwa dancing floor akaja kacheza nami.Anajua kucheza and I liked his company for the night.
After mziki tukabadilishana mobile no and tumeendelea kuwasiliana since that day.
The issue ni kuwa napenda company yake ya kudance ila its like anataka kwenda extra Miles.sasa kumjibu straight nimeshindwa nimebakia kuignore calls zake most of the time.
Mbaya zaid he is good looking and ana very innocent face.Shost yangu alinishauri si mbaya nikionja even once,akasema nanukuu kinga si zipo waogopan? Naogopa nisije fall
mazima mweeeh,manake siku hizi wana kula na kusepa wanasema wenyewe vijana wa mjini.
Au moyo sukuma damu na si vingine.
No,kuna ile respect ya kiuanamke ya kutojitoa ovyo ovyo kwa wanaumehahah aisee! kwa hyo ukiwa huna virgin you have nothing to fear anymore
No,kuna ile respect ya kiuanamke ya kutojitoa ovyo ovyo kwa wanaume
But inaonekana hata mleta thread ana some kind of uhitaji wa kufanya kitachotakiwa kufanywa na huyo mwanaume
Ndio mdogo wangu.U mean stupidi??
Maliza tuu mkuu,usidhulum nafssi maana inaonyesha hata wewe kwake taaban
na raha ya utamu uzameShukran,bt naogopa kuzama mie
What about her dignity?? Or doesn't that mean anything to you???Fuata ushauri wa shosti
Hata hivyo huna cha kupoteza unless you are still a virgin
What about her dignity?? Or doesn't that mean anything to you???