Mr.Blue ft. Ally Kiba - mboga saba official video

ha ha mti wenye matunda hauogopwi kupigwa mawe

Hahahahaaa siogopi kupigwa mawe, ila raha ya kula matunda hasa dodo ni pale linapodondoka lenyewe kutoka mtini. Unaiokota, unalikosha, unalila taratiibuuu kwa raha na utamu.

Looh siendelei kusema tena babu atanichapaa.
 
Hiii ngoma Kali kwanzia audio mpaka kichupa, byser is really back. Inanikumbusha the era of tabasamu, Braza kiba nae kaua kwa chorus ya hatari..


video nzuri ila ingefaa zaidi mazingira ya SA kama angejiongeza kushut na direct mkali
 
Apo mwsho ndo wameamua kutumia DRONE kwa masifa...
dressing code + accessories vimeharbu... tuwape sapot tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom