Verse 1 –Mr BlueMboga saba umeniteka, makahaba nawachekaKwenye mkataba nakuweka, kwenye mahaba nakuwekaNapiga ibada usije lala kwenye mkekaAah kama vumba likikataaAah ndumba halitovaaBila nyumba chumba kimoja utakaa?Nguo za mitumba nauliza mchumba utavaa? (Yeah)Yeah, basi mohoro, nakupenda na ngozi yako nyororoKote unakwenda hata kwenye vigodoroPenzi lako limenifunga minyororoBasi leo twende wapi? Nichukue bajaji nije kwenu MasakiTwende Coco Beach ukale mishikaki?Au Zara Moon ukale ugali samaki?Nachokupenda kuwa hujui kujivunaMtoto mzuri ila hujui kunichunaWatoto wa uswazi hawajui kunikunaMapenzi kamari ila hujui kunipunaPre-Chorus –Ali KibaNilipiga goti kwa Mungu na dua ikafikaHaya maisha yangu na wewe ukaridhikaChorus –Ali KibaEii…(Oh yee ye oyee, oh yee ye oyee)Unanifaa sana(Oh yee ye oyee, oh yee ye oyee)Nasikia raha(Oh yee ye oyee, oh yee ye oyee)Unanifaa sana(Oh yee ye oyee, oh yee ye oyee)Nasikia rahaVerse 2 –Mr BlueMtoto unajua njaa, (mtoto) unajau raha(Mtoto) kweli kifaa, (mtoto) kweli unafaaMoto bila ya mkaa, ndoto ya kila starWe ni joto kwangu baridi balaaBonge la bambataa, unapendeza unavovaaKwenye bed unavyocheza kama kwenye jukwaaMacho ya kulegeza, hii sio kungu nakataaKwenye giza waka waka kama taaUlaya bila visa nafika bila kupaaAh, mama halali wa pendoAchana na habari na skendoWanakaba kabari kila angleWanataka nife wateke mali wazibe pengoHawajui…Pengo langu halizibiki, hawasumbuiPendo gonjwa sugu halitibikiUnapendwa na babu na bibi, na mama na babaNakuita beki kwenye bonge la ligi unavyokabaMabrazameni ntawapiga shabaNiacheni na mboga saba, bakieni na makahabaNachompenda kuwa hajui kujivunaMtoto mzuri ila hujui kunichunaWatoto wa uswazi hawajui kunikunaMapenzi kamari ila hujui kunipunaPre-Chorus –Ali KibaNilipiga goti kwa Mungu na dua ikafikaHaya maisha yangu na wewe ukaridhikaChorus –Ali KibaEii…(Oh yee ye oyee, oh yee ye oyee)Unanifaa sana(Oh yee ye oyee, oh yee ye oyee)Nasikia raha(Oh yee ye oyee, oh yee ye oyee)Unanifaa sana(Oh yee ye oyee, oh yee ye oyee)Nasikia rahaOutroOh yee ye oyee, oh yee yee oyeeOh yee ye oyee, oh yee yee oyeeye