Mr.Blue ft. Ally Kiba - mboga saba official video

Mr.Blue ft. Ally Kiba - mboga saba official video

Nilipiga goti kwa Mungu, Na dua ikafikaaa
Haya maisha yangu na wewe ukaridhikaaaa
 
Nimeona sehem kama capetown fishmarket ya Tanzania, Video iko vizuri, tuwasapoti wasanii wetu wa tz, wakifanikiwa hata sis biashara zetu zitafanikiwa direct or indirectly. Big up.
 
VIDEO nzuri.... Audio hamna kitu... namkumbuka sana blue wa 2003-2009...

sahizi blue ameamua kuwa wa kawaida.... haya sasa na kiba kapiga chorus mbaya kabisa kuwahi kutokea...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom