LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,899
- 37,696
Inatoka: ULIMWENGU USIOONEKANA
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Blue.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
MR. BLUE AHOJI! DIAMOND PLATNUMS ANA TATIZO GANI?

[TD="class: tr-caption, align: center"]Diamond na Naj.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Katika kipindi cha SPORAH SHOW kilicho pita wageni waalikwa walikuwa msanii Mr. Blue, Naj na King Sultan kutoka Zanzibar. Moja kati ya maswali ambayo Blue aliulizwa ni pamoja na
Sporah:Ulijisikiaje uliposikia Diamond ametoka na Najma?
Mr. Blue : Nilijiuliza Diamond ana tatizo gani? Kwa Wema, Naj naye; Ukweli nilipo ona huyu Diamond! Ametoka na huyu
( Najma ) nilishangaa! Kushangaa sikushangaa kwamba Najma amekuwa na Diamond kwa sababu huyu ( Najma) tuligombana so lazima atakuwa na mwanaume. Haijalishi ni Diamond ni nani ni nani, u know? Lakini nilijiuliza kwa Diamond kwa nini afuatilia watu ambao nimepitia?!! Lakini At the end of the day, nikampigia simu! Nikamwambia bana tunaweza tukaonana, lakini hakutaka tuoanane, nilitaka nimuulize tu hilo suala
Swali: KWA HIYO ULIMPIGIA PIA ULIPOSIKIA YUPO NA WEMA?
BLUE: No! tulikuwa tunakutana yupo na Wema kabisa!
Are you serious?
BLUE: Yeah serious kabisa! Vipi Diamond , Wema and all that?
KWANINI ULITAKA UONANE NAYE BAADA YA KUSIKIA YUPO NA NAJ ?
BLUE!( Kwa ukali na msisitizo); Nilitaka nijue kwa nini msichana ambaye nipo naye,… huyu wa pili sasa! Halafu niliona kwenye gazeti halafu at the end of the day its all goodness
Nilimpigia simu na kuomba tukutane naye, lakini akapotezea kukutana na mimi. Simchukii Diamond, Diamond ni kama ndugu yangu kabisa, unajua mama yangu na mama Diamond wamecheza pamoja . Diamond ni rafiki yangu kabisa! But sikufurahishwa kabisa na yeye kuwa anatoka na wasichana ambao nimeshatoka nao tayari.
Kwa ufupi Blue anacho kisema ni kwamba, hakupendezwa kabisa na kitendo cha Diamond kuwa anatoka na wasichana ambao yeye Blue ameshatoka nao. Suala hili lilimshangaza sana na akaamua kumpigia simu Diamond kumuomba wakutane ili amuulize kwa nini anafanya hivyo!

[/TD][/TR]