Mr Ashraf

Mr Ashraf

Ashraf mohamed

New Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Gari inauzwa aina ya toyota picnic 7 seater iko zanzibar ni nzuri sana haina matatizo yoyote nunua na uendeshe kwa biashara ya taxi au family bei ni sh' 8,000,000 piga simu hii 0777424737 Masoud.
Na kwawale wanao ishi Dar au miji mingine ikiwa gari umeipenda ikiongeza sh laki 800,000 tutakupelekea mpaka Dar ikiwa ishalipiwa ushuru na namba ishakamilika.
 
Gari inauzwa aina ya toyota picnic 7 seater iko zanzibar ni nzuri sana haina matatizo yoyote nunua na uendeshe kwa biashara ya taxi au family bei ni sh' 80,000,000 piga simu hii 0777424737 Masoud

Kaka hapo penye red msaada tafadhali,nimepata kigugumizi na hiyo bei,au kuna makosa!!
 
Gari gani hiyoya Mil80 unawauzia wadau wafanye taxi?
 
Back
Top Bottom