Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Matumizi ya dola chini ya serikali ya ccm ni makubwa kiasi ya kutishia uwepo wa shs yetu. Mfano machangudoa wa maisha club na maeneo ya Masaki wengine wanataka walipwe kwa dola ya USA. Ni hatari.Kumbe bado kuna maduka hapa bongo yanatumia malipo ya fedha ya mkoloni|mzungu eeh?
...au siyo hapa hizi kitu..!
Haa ni kusumbua tu wateja na kama huna dollar anakuambia exchange rate ya muda huo. Duu kweli jiji la mwendo kasiiMatumizi ya dola chini ya serikali ya ccm ni makubwa kiasi ya kutishia uwepo wa shs yetu. Mfano machangudoa wa maisha club na maeneo ya Masaki wengine wanataka walipwe kwa dola ya USA. Ni hatari.